Meghan Markle ajifungua mtoto wa kiume

mawaridi

Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
47
Reaction score
123
Duchess of Sussex Meghan Markle mapema leo amejifungua mtoto wa kiume

Meghan alijifungua mtoto mnano saa moja asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki, na Mama na Mtoto wanaendelea vizuri

Prince Harry amewashukuru wananchi kwa support yao katika kipindi chote, na bado wanafikilia jina la kumpa mtoto huyo

Hongera kwa Prince Harry na Duchess of Sussex Meghan kwa mtoto wao wa kwanza
 
Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Duke and Duchess of Sussex [Prince Harry na mkewe Merghan Markle] wameweka wazi kwamba wamepata mtoto wa kiume aliyezaliwa asubuhi ya leo tarehe 06.05.2019.

Mama na mtoto wako salama kabisa.

"We are pleased to announce that Their Royal Highnesses The Duke and Duchess of Sussex welcomed their firstborn child in the early morning on May 6th, 2019. Their Royal Highnesses’ son weighs 7lbs. 3oz.

The Duchess and baby are both healthy and well, and the couple thank members of the public for their shared excitement and support during this very special time in their lives.

More details will be shared in the forthcoming days."


 
Hivi mimi nzengo wa kawaida siwezi olewa familiya ya kifalme?
 
Reactions: BAK
Ungeweka picha ya mume na mke wake kabisa ingenoga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…