Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Marais nchi jirani wamesimama na wameongea nakuwatia moyo wafanyakazi wa afya huku wakiahidi mazurii siku za usoni.
Wameeleza watakavyo walinda wafanyakazi sekta ya afya nk. Nimefurahi walivyoonesha uongozi kwa vitendo.
Kunanchi ni usiri mtupu na wameshuhudia kikaratasi tuu kuwa wapige kazi as if hawajui wajibu wao mpaka wakumbushwe kilaleo
 
Tunapokea salama hizi kwa shukrani.
 
Mie shule zikifunguliwa tu,natoka zangu nanjilinji naenda dar kufundisha. Shule yeyote ile.

Kazi ni popote.

Sent using iphone pro max
 
Aje mstari wa mbele kupambana na corona sio kukimbia wakati wananchi wanakufa
 
Pamoja na salam hizo lakn ni ukatili mkubwa kwa wafanyakaz kutoongezwa mishahara yao kwa miaka mitano hku garama za maisha zkipanda kila leo

Its not over until its over...[emoji769]
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…