Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

Umeongea mambo ya msingi sana kwa wafanyakazi,naona kama umemaliza.
 
Hamna hela sukuma Gang wameiba hela zote.
Kwani pesa zinatunzwa nyumbani kwa mtu useme wezi wamevunja nakuiba kibubu? Hao walio zihamisha wanajulikana na wanajijua, unakumbuka wale wabeba pesa kwenye viroba jamani Tanzania [emoji27][emoji27]
 

Kwa hali ya uchumi ulivyo nijuavyo kuna vingine aviwezekani hasa la mishahara.
Ila katika hayo ningependa aanze na haya:-
1. Riba HESLB
2. Fao la kujitoa
3. KIkokotoo kipyaa
4. Ajira mpyaa( zile za kureplace waliopo tu, labda mpya kwenye kada ya afya na walimu wa sayansi)
5. Uhamisho ( kwa wale walio tayari kuama kwa gharama zao tu)
6. Kupunguza asilimia ya kodi PAYE.
 
K
Pia kurejesha Bodi ya Mishahara na Masilahi katka utumishi wa umma iliyovunjwa mwaka jana. Bodi hii ilianzishwa kipindi cha JK. Hii itasaidia kusukuma maendeleo ya mishahara na maslahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…