Mei mosi iliyojaa ngonjera, ya nini?

Mei mosi iliyojaa ngonjera, ya nini?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.

Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni sare zao tu.

Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
 
Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni wasomaji tu.

Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
Tukutane Jumatatu View attachment 2603939
IMG-20230424-WA0006.jpg
 
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.

Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni wasomaji tu.

Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
acha ushambenga na tabia za kike, acha uzushi wa kipuuzi. We nani mpaka uone hizo risala?
 
Viongozi wote wa TUCTA kwa usaliti wao wa kukubali kupitishwa kwa kikokotoo cha 33% kwa wale wastaafu wa kawaida! Huku Wabunge wakiachwa; haki ya nani watalaaniwa duniani na ahera.
Kwanza hao Tucta wenyewe walipendekeza iwe 25 asilimia mpaka serikali yenyewe ilishawangaa mpaka ikaweka 33 .Chanzo cha pendekezo hilo lilitoka mdudu aitwae Cwt na shirikisho la wafanyakazi Tucta waliliafiki pendekezo hilo kwani lilitolewa na mwanachama wao mwenye wanachama wengi.Hao Cwt walikuja na hoja dhaifu kwamba eti wanachama wao ambao ni walimu wetu wakiendelea kupewa asilimia 50 kama ilivyozoeleka eti wataishia kunywea pombe na kuolea Mitala.Ajabu akili hiyo ikawaathiri hata wasio walimu
 
Watumishi wanaishi maisha magumu na ya kudhalilika huku wao wakijilimbikizia mahela.

Kikokotoo 33% ni uuaji kwa Watumishi
 
TUCTA ni leso ya serikali
Katibu Mkuu machachari alikuwa Nicolous Mgaya na si Hawa vibaraka TUCTA akina Nyamhoka na kundi lake. Mgaya alikuwa anaichachafya serikali kwelikweli. Nakumbuka, mwaka 2008 Komrade Jakaya Kikwete alikimbilia Uganda Baada ya kukosa mwaliko wa TUCTA ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa TUCTA.
 
Kwanza hao Tucta wenyewe walipendekeza iwe 25 asilimia mpaka serikali yenyewe ilishawangaa mpaka ikaweka 33 .Chanzo cha pendekezo hilo lilitoka mdudu aitwae Cwt na shirikisho la wafanyakazi Tucta waliliafiki pendekezo hilo kwani lilitolewa na mwanachama wao mwenye wanachama wengi.Hao Cwt walikuja na hoja dhaifu kwamba eti wanachama wao ambao ni walimu wetu wakiendelea kupewa asilimia 50 kama ilivyozoeleka eti wataishia kunywea pombe na kuolea Mitala.Ajabu akili hiyo ikawaathiri hata wasio walimu
Cwt ni wasengerema Sana!
 
acha ushambenga na tabia za kike, acha uzushi wa kipuuzi. We nani mpaka uone hizo risala?
Vp km yeye ndo aliyeziandaa?
Labda wewe ndo utwuambie kuwa wewe ni nani mpaka umpinge mtoa mada.
Hata asingesema,mbona kila uchwao ni kusifia hata pasipo hitajika?

Au wewe umekuja leo Tz?
 
Katibu Mkuu machachari alikuwa Nicolous Mgaya na si Hawa vibaraka TUCTA akina Nyamhoka na kundi lake. Mgaya alikuwa anaichachafya serikali kwelikweli. Nakumbuka, mwaka 2008 Komrade Jakaya Kikwete alikimbilia Uganda Baada ya kukosa mwaliko wa TUCTA ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa TUCTA.
Hao jamaa wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi na si ya wanachama hebu jiulize how comes viongozi wakuu wa Cwt ambao ndio wenye wanachama wengi kwenye hilo shirikisho wamefika mahali wanamgomea mpaka mh Rais alipowachagua kuwa wakuu wa wilaya.Sababu tu huko Cwt kuna hela za bure ambazo hazina auditing.Serikali ina mkono mrefu lazima ifanye kitu kuwapa displine
 
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.

Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni sare zao tu.

Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
Nakumbuka nilipokuwa nafanya kazi local government. Siku moja palikuwa nq vuguvugu za mgaya. Basi bhana siku hiyo ya Mey mosi nikaamka nikawa nafanya usafi nyumbani kwangu nilifuatwa ati kwann sijaenda kwenye Mey mosi so niende kujieleza kwann sijaenda
 
Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.

Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni sare zao tu.

Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
Tulia wewe
 
Viongozi wote wa TUCTA kwa usaliti wao wa kukubali kupitishwa kwa kikokotoo cha 33% kwa wale wastaafu wa kawaida! Huku Wabunge wakiachwa; haki ya nani watalaaniwa duniani na ahera.
sio kulaniwa nani atawalaani? ni vyema watanzania tuamke kutoka kwenye usingizi wa pono, watu tugome jamani tumechoka upumbavu
 
Back
Top Bottom