Tukutane Jumatatu View attachment 2603939Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.
Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni wasomaji tu.
Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
Haya ni maandishi tu kama Yale ya kwenye kanga. Huwa hayamtishi mvaaji ama jiraniTukutane Jumatatu View attachment 2603939View attachment 2603940
TUCTA ni leso ya serikaliViongozi wote wa TUCTA kwa usaliti wao wa kukubali kupitishwa kwa kikokotoo cha 33% kwa wale wastaafu wa kawaida! Huku Wabunge wakiachwa; haki ya nani watalaaniwa duniani na ahera.
acha ushambenga na tabia za kike, acha uzushi wa kipuuzi. We nani mpaka uone hizo risala?Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.
Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni wasomaji tu.
Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
Nchi Ina wenyewe hii ndugu. Kalaga baho!acha ushambenga na tabia za kike, acha uzushi wa kipuuzi. We nani mpaka uone hizo risala?
Kwanza hao Tucta wenyewe walipendekeza iwe 25 asilimia mpaka serikali yenyewe ilishawangaa mpaka ikaweka 33 .Chanzo cha pendekezo hilo lilitoka mdudu aitwae Cwt na shirikisho la wafanyakazi Tucta waliliafiki pendekezo hilo kwani lilitolewa na mwanachama wao mwenye wanachama wengi.Hao Cwt walikuja na hoja dhaifu kwamba eti wanachama wao ambao ni walimu wetu wakiendelea kupewa asilimia 50 kama ilivyozoeleka eti wataishia kunywea pombe na kuolea Mitala.Ajabu akili hiyo ikawaathiri hata wasio walimuViongozi wote wa TUCTA kwa usaliti wao wa kukubali kupitishwa kwa kikokotoo cha 33% kwa wale wastaafu wa kawaida! Huku Wabunge wakiachwa; haki ya nani watalaaniwa duniani na ahera.
Laana ianzie kwa misiwitiiViongozi wote wa TUCTA kwa usaliti wao wa kukubali kupitishwa kwa kikokotoo cha 33% kwa wale wastaafu wa kawaida! Huku Wabunge wakiachwa; haki ya nani watalaaniwa duniani na ahera.
Katibu Mkuu machachari alikuwa Nicolous Mgaya na si Hawa vibaraka TUCTA akina Nyamhoka na kundi lake. Mgaya alikuwa anaichachafya serikali kwelikweli. Nakumbuka, mwaka 2008 Komrade Jakaya Kikwete alikimbilia Uganda Baada ya kukosa mwaliko wa TUCTA ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa TUCTA.TUCTA ni leso ya serikali
Cwt ni wasengerema Sana!Kwanza hao Tucta wenyewe walipendekeza iwe 25 asilimia mpaka serikali yenyewe ilishawangaa mpaka ikaweka 33 .Chanzo cha pendekezo hilo lilitoka mdudu aitwae Cwt na shirikisho la wafanyakazi Tucta waliliafiki pendekezo hilo kwani lilitolewa na mwanachama wao mwenye wanachama wengi.Hao Cwt walikuja na hoja dhaifu kwamba eti wanachama wao ambao ni walimu wetu wakiendelea kupewa asilimia 50 kama ilivyozoeleka eti wataishia kunywea pombe na kuolea Mitala.Ajabu akili hiyo ikawaathiri hata wasio walimu
Vp km yeye ndo aliyeziandaa?acha ushambenga na tabia za kike, acha uzushi wa kipuuzi. We nani mpaka uone hizo risala?
Hao jamaa wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi na si ya wanachama hebu jiulize how comes viongozi wakuu wa Cwt ambao ndio wenye wanachama wengi kwenye hilo shirikisho wamefika mahali wanamgomea mpaka mh Rais alipowachagua kuwa wakuu wa wilaya.Sababu tu huko Cwt kuna hela za bure ambazo hazina auditing.Serikali ina mkono mrefu lazima ifanye kitu kuwapa displineKatibu Mkuu machachari alikuwa Nicolous Mgaya na si Hawa vibaraka TUCTA akina Nyamhoka na kundi lake. Mgaya alikuwa anaichachafya serikali kwelikweli. Nakumbuka, mwaka 2008 Komrade Jakaya Kikwete alikimbilia Uganda Baada ya kukosa mwaliko wa TUCTA ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa TUCTA.
Nakumbuka nilipokuwa nafanya kazi local government. Siku moja palikuwa nq vuguvugu za mgaya. Basi bhana siku hiyo ya Mey mosi nikaamka nikawa nafanya usafi nyumbani kwangu nilifuatwa ati kwann sijaenda kwenye Mey mosi so niende kujieleza kwann sijaendaZa ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.
Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni sare zao tu.
Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
Tulia weweZa ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama.
Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni sare zao tu.
Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
sio kulaniwa nani atawalaani? ni vyema watanzania tuamke kutoka kwenye usingizi wa pono, watu tugome jamani tumechoka upumbavuViongozi wote wa TUCTA kwa usaliti wao wa kukubali kupitishwa kwa kikokotoo cha 33% kwa wale wastaafu wa kawaida! Huku Wabunge wakiachwa; haki ya nani watalaaniwa duniani na ahera.
Mpk kwa machinga ccm imeweka watu waoCcm imeingilia kila pahala,