Mzigdash JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 440 Reaction score 377 May 1, 2021 #2 Nadhani haya mambo yanapangwa makusudi kabisa, kuanzia wiki ijaya mjadala utahama mpaka uteuzi wa MaDC na MaRC..
Nadhani haya mambo yanapangwa makusudi kabisa, kuanzia wiki ijaya mjadala utahama mpaka uteuzi wa MaDC na MaRC..
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 May 1, 2021 #3 Tanzania Ngumu
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 May 1, 2021 #4 Nchi yetu ni nzuri sana, kelele zinapigwa kwa siku kadhaa then kila kitu kinaendelea kama kawa Mwendazake alitumia nguvu kubwa kuzuia report ya CAG wakati haina athari zaidi ya kuongelewa mitandaoni tu kama ngonjera Jk alikuwa na msemo wake '… ni Upepo tu…utapita…' Hata Mwakani itatoka itaukanyaga sana Utawala wa Mama lakin mambo yataendelea Kakoko wa Bandari yupo Mtaani anakula Bia kama kawa
Nchi yetu ni nzuri sana, kelele zinapigwa kwa siku kadhaa then kila kitu kinaendelea kama kawa Mwendazake alitumia nguvu kubwa kuzuia report ya CAG wakati haina athari zaidi ya kuongelewa mitandaoni tu kama ngonjera Jk alikuwa na msemo wake '… ni Upepo tu…utapita…' Hata Mwakani itatoka itaukanyaga sana Utawala wa Mama lakin mambo yataendelea Kakoko wa Bandari yupo Mtaani anakula Bia kama kawa
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 May 1, 2021 #5 hii nchi ina wenyewe.. kesi ya nyani huwez kupeleka kwa ndegere
W wakaliwetu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2020 Posts 671 Reaction score 1,143 May 1, 2021 #6 Sky Eclat said: View attachment 1770255 Click to expand... Ningejua mahala ulipo ningekuja nikukabidhi zawadi walai
Sky Eclat said: View attachment 1770255 Click to expand... Ningejua mahala ulipo ningekuja nikukabidhi zawadi walai