Nchi yetu ni nzuri sana, kelele zinapigwa kwa siku kadhaa then kila kitu kinaendelea kama kawa
Mwendazake alitumia nguvu kubwa kuzuia report ya CAG wakati haina athari zaidi ya kuongelewa mitandaoni tu kama ngonjera
Jk alikuwa na msemo wake '… ni Upepo tu…utapita…'
Hata Mwakani itatoka itaukanyaga sana Utawala wa Mama lakin mambo yataendelea
Kakoko wa Bandari yupo Mtaani anakula Bia kama kawa