Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Uzi hautembei tena [emoji28][emoji28][emoji28]
Watu/wafanyakazi walitegemea makubwa sana baada ya rais kubadilika ila ukweli yeyote angekuwa rais kwa mda huu asingeweza kuongeza mishahara. Fedha nyingi sana inaenda kwenye miradi ya maendeleo, pia kuongeza mishahara kunahitaji mipango ya at least mwaka ili kupanga bajeti endelevu.Mtangulizi wake hakuwa na huo mpango ΔΊwa sababu ambazo alizielewa yeye binafsi zaidi.
 
Swali fikirishi...

Hivi Bi Mkubwa nae bado anapokea mshahara wa Makamu Raisi?

Au ameshapanda daraja na kuzoa mshahara na marupurupu ya mtagulizi wake???

Au hadi mwakani ndio atapandishiwa na watumishi wote?
 

Hiyo mimba uliyodungwa chato itakutoa roho
Katika hali ya kawaida kabisa, mwanaume hawezi kudungwa mimba....

Ila mwanaume kuwa shoga kama wewe... inaeleweka kabisa...

Ushauri mdogo kabisa kwako ni mmoja tu... acha tabia mbaya.......
 
Tena nadhani hata hiyo mwakani ni karibu sana kwakweli ilifaa hata baada ya miaka 3 mpaka 4 angalau baadhi ya miradi ikamilike.

Hata Hayati Magufuli alitegemea kuwaongezea Donge nono lkn baada ya miradi ya kimkakati kukamilika.......huenda ingekuwa 2023 au 2024.

Kama kweli watumishi wanataka wanufaike zaidi na donge nono bora wawe wavumilivu mpaka 2024
 
Najua wengi mlikuwa na matumaini makubwa kuwa mshahara ungeongezwa. Hata hivyo haijawa hivyo, ila nawatia moyo kuwa endeleleeni kuvuna subra. Njia mlotumia kwa miaka sita ilopita endeleleeni kuiboresha... Mwakani sio mbali tuombe uzima... MAUMIVU YANAENDELEA..
 
 
Walimu wenzangu tuendelee kuuza barafu hakuna namna "alie juu...mpandie hukohuko"
 
"Ccm ni ile ile, oooh ni ile ileee" R.I.p John Komba, kale ka wimbo kalikuwa katamu sana! Kazi iendelee . .............
 
Kwendraaaa😏 mnaotaka kuongezewa mishahara mbona hamuwazi hata wadogo zenu walioko mitaani ,nao waajiriwe wapate hata hicho kidogo mnachopata kwa sasa?
Kazi iendelee si mlisema jpm alikuwa mbaya?
Sasa vipi mama anaesikiliza shida za watanzania nae ni mbaya eeh?
 
Ndugu Zangu Mshahara Hata Mimi Haunitoshi
Najiuliza Tugawane Pesa Na Hii Miradi
Kwenye Utawala Wangu Mimi Sitaongeza Tshs 10000/- Chapeni Kazi Mniamini
JPM
πŸ–’πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
Kama mnaona mshahara hautoshi si muache kazi mfanye mambo mengine? Mbona hawa wasomi wanakuwa na akili za ajabu kiasi hiki?

Kila siku ni kulalamika na kufedheheshwa na serikali ila bado hawashituki. Siku mkijitambua nyie ni nani ndipo mtakapogundua kuwa Ajira ni utumwa.

"EMPLOYMENT IS A NEW VERSION OF SLAVERY"
 
Nitawashangaa wafanyakazi Kama wataenda kujianika uanjani mwakani maana hawakomi, miaka sita maneno yaleyale ,na mda wote mwaenda njianika uwanjani achaneni na Mambo hayo , Iyo siku Kama hamna Cha kufanya nyumbani Basi lala hasa nyie walim hivi pamoja na kutunga nyimbo kila mwaka huwa hamkomi,
 
Swali fikirishi...

Hivi Bi Mkubwa nae bado anapokea mshahara wa Makamu Raisi?

Au ameshapanda daraja na kuzoa mshahara na marupurupu ya mtagulizi wake???

Au hadi mwakani ndio atapandishiwa na watumishi wote?
maswali ya kitoto
 
inategemea serikal iliingia makubaliano gani na benki.
benki si taasis ya huruma
serikal inatakiwa kukaa chini na kutafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…