Mei Mosi ndo hiyooo! TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeko la mishahara

Mei Mosi ndo hiyooo! TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeko la mishahara

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
Naomba TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeka la mishahara Kwa wafanyakazi mwaka huu. Mnakumbuka Mama alitangaza jambo letu kwa mbwembwe tukapigea na kitu kizito.

Tusije lia tena jamani. Hatutaweelewa.
 
1681405174095.jpg
 
Nataka nione walimu watakuja namna gani au watasema nini kwa hizi sherehe za Mei Mosi.

Kama watashindwa kujitetea tena, basi nitaapa kuwasema vbya maisha yangu yote.

Nasema walimu mana wao ndo kundi kubwa la wafanyakazi.
 
Haa kama kawaida yao leo
 
Mtakufa na stress kuwaza vitu ambavyo havipo, pambaneni na hali zenu yaani mihela yooote iliyopigwa mpaka wameitwa stupid unategemea mtapewa chochote? Sahau hiyo kitu.
 
mtakufa na stress kuwaza vitu ambavyo havipo, pambaneni na hali zenu yaani mihela yooote iliyopigwa mpaka wameitwa stupid unategemea mtapewa chochote? Sahau hiyo kitu.
Expectations zinaleta stress sana.....
 
Back
Top Bottom