Kumbe wanafanyia hapo Stand ya Mabasi ya Abood
Haa kama kawaida yao leoNataka nione walimu watakuja namna gani au watasema nini kwa hizi sherehe za Mei Mosi.
Kama watashindwa kujitetea tena, basi nitaapa kuwasema vbya maisha yangu yote.
Nasema walimu mana wao ndo kundi kubwa la wafanyakazi.
Expectations zinaleta stress sana.....mtakufa na stress kuwaza vitu ambavyo havipo, pambaneni na hali zenu yaani mihela yooote iliyopigwa mpaka wameitwa stupid unategemea mtapewa chochote? Sahau hiyo kitu.
Wanakuhusi NiniNATAKA NIONE WALIMU WATAKUJA NAMNA GANI AU WATASEMA NINI KWA HIZI SHEREHE ZA MEI MOSI
KAMA WATASHINDWA KUJITETEA TENA, BASI NITAAPA KUWASEMA VBYA MAISHA YANGU YOTE
nasema walimu mana wao ndo kundi kubwa la wafanyakazi