Kwa uwingi wa watu waliopo haliwezekan tena, zamani ndio walikuwa wako tayari wakulipe pesa ndefu. Sahiz wana option nyingiHiyo sekta binafsi dawa yao ni kukosa wafanyakazi wa kuwaajiri. Watashika adabu na kutoa mshahara mkubwa kuliko wa serikali ili wakimbiliwe na waajiriwa
Labda uwe expertKwa uwingi wa watu waliopo haliwezekan tena, zamani ndio walikuwa wako tayari wakulipe pesa ndefu. Sahiz wana option nyingi
Na kuwa expert ni kazi, very rareLabda uwe expert
una nafasi za ajira kuwaajiri Watanzania wote wenye uhitaji wa ajira au umeropoka tu kwa kuwa wewe umejiriwa na serikali? uñafahamu hizo sector binafsi wanachopitia?Hiyo sekta binafsi dawa yao ni kukosa wafanyakazi wa kuwaajiri. Watashika adabu na kutoa mshahara mkubwa kuliko wa serikali ili wakimbiliwe na waajiriwa
Lakini pia Sector binafsi wana matozo mengi ambayo huwezi kuyajua, kama hauna roho ngumu unafunga, Tanzania bado hakuna mazingira mazuri kwa sector binafsi, kama unafikiri uongo Weka kibanda cha mpesa hapo uone, TRA wanakuja, Manispa wanakuja, Brela wanakuja wote wanataka hela,Sekta binafsi ukulipe mamillion umeufanyia nn kampuni?
Afu ukizingua wenzio wanaohitaji kazi wanachukuliwa, kule ni ushindani nje nje huko sio kwa bi kizimkazi
Ni ngumu hiyo, sector binafsi hazina mitaji sawa katika kuendesha shughuli zao, yapo makampuni makubwa ambayo yanalipa zaidi kuliko hata serikali, kuna mengine hayaweziKima cha chini ni kwa sector zote hadi binafsi.
ni kweliKwa uwingi wa watu waliopo haliwezekan tena, zamani ndio walikuwa wako tayari wakulipe pesa ndefu. Sahiz wana option nyingi
kwa hiyo ndio walipe mshahara kiduchu?una nafasi za ajira kuwaajiri Watanzania wote wenye uhitaji wa ajira au umeropoka tu kwa kuwa wewe umejiriwa na serikali? uñafahamu hizo sector binafsi wanachopitia?