Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua..
Sasa ona hapa...
Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya kusikia "nani kama mama" anatoa kauli kuondoa kikokotoo kandamizi cha mafao ya kustaafu kwenu na ahadi njema ya nyongeza ya mishahara badala yake mmeenda na kukutana na WADUDU walioandaliwa kwa ajili yenu kuwang'ata.
Sasa kaeni tayari maana wanaanza kuwang'ata mmoja baada ya mwingine mpaka muombe - poo..
WADUDU OYEEEEE...🤣🤣🤣🙇🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻