Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Hivi mnawachukia sana walimu?waache chama kiwatafune maana wana viherehere mfano walimu kwenye mkutano wao mwaka jana wakachanga fedha za sir 100 kuchukua fomu inamaana wanafurahia yanayoendelea mpka wanaunga mkono juhudi acha watafunwe....
imagine baba wa mtu hapo kawekwa juani hana maji wala msosi alafu anawasikiliza wadudu πππππ
huo muda angetumia kuanzisha genge la mboga na matunda leo angekua mbali na asingelazimishwa kwenda kupigwa na jua na kusubiri ahadi za mchongo....
fikiri tamisemi wana bajeti ya kununua magari mapya ya viongozi lakini watumishi wa chini kabisa wanapigiwa plan ya kukatwa pesa zao kwa dhuluma ππππ
kekundu kekundu..... wajinga ndio waliwao
sina chuki mkuu nimetolea mfano tu mbona kada kibao wanalazimishwa mambo ya ajabu kuvaa nguo zenye picha ya raisi kuimbishwa mapambio nisamehe sana kwa kutolea mfano waalimu ila kada nyingi ni machawa wakiamini kuna mema yanakuja kumbe urojo mtupuHivi mnawachukia sana walimu?
Maana kosa la watu wachache basi kila siku wanalaumiwa walimu wote
Halafu kila siku mnaambiwa, wale ni wafia chama wa CCM na propaganda ile inatengenezwa from the top ili ionekane watu wanakubali chama na mwenyekiti
Unakuta hela za kuchangia wamepewa na wao wanapata zao
Halafu hata ingekuwa kweli, Raisi amechangiwa zaidi ya mara 3 na kada tofauti
Maana yake propaganda ni kubwa na watu Wana maslahi nayo
Nchi ina Wajinga lukukiView attachment 2982897
Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua..
Sasa ona hapa...
Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya kusikia "nani kama mama" anatoa kauli kuondoa kikokotoo kandamizi cha mafao ya kustaafu kwenu na ahadi njema ya nyongeza ya mishahara badala yake mmeenda na kukutana na WADUDU walioandaliwa kwa ajili yenu kuwang'ata.
Sasa kaeni tayari maana wanaanza kuwang'ata mmoja baada ya mwingine mpaka muombe - poo..
WADUDU OYEEEEE...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1334][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
Nchi ina Wajinga lukuk