Meja Jenerali Daniel Igoti: Kamanda wa JWTZ aliyeongoza vita ya kukomboa kisiwa cha Anjouan nchini Comoro

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Hii ni simulizi nzuri kuhusu vita vya kukomboa kisiwa cha Anjouan toka mikononi mwa waasi.

Majeshi yetu yalikuwa chini ya uongozi wa Brigedia Jenerali Daniel Igoti ambaye alikuwa akisaidiwa na Luteni Kanali Shabani Lissu.

Soma: Tanzania's contribution to the liberation of Comoro

Fuatilia simulizi kuhusu tukio hilo hapa chini.

Hali ya uchumi jameni tunaomba wadau mbali mbali na serikali itusaidie tuwekewe maandishi na sio video😅😅
 
Waje waikomboe Danganyika Republic sasa toka mikononi mwa mtekaji wa visiwani.
1725340778602.png
 
Hii ni simulizi nzuri kuhusu vita vya kukomboa kisiwa cha Anjouan toka mikononi mwa waasi.

Majeshi yetu yalikuwa chini ya uongozi wa Brigedia Jenerali Daniel Igoti ambaye alikuwa akisaidiwa na Luteni Kanali Shabani Lissu.

Soma: Tanzania's contribution to the liberation of Comoro

Fuatilia simulizi kuhusu tukio hilo hapa chini.

Tanzania na hasa jeshi letu la TPDF wawaruhusu wazee hawa wawe wanaandika vitabu, kufanya mahojiano marefu ili historia infinite jamii yetu ya kiTanzania na ulimwengu mpana.

Stori kama hizi pia ni sehemu ya kufungua nchi kama sera ya kidiplomasia ya kufungua inavyosema. Askari hawa kwa simulizi zao zinaleta ukaribu baina ya Tanzania na dunia katika masuala mtambuka ikiwemo biashara, uchumi na utalii.

Wazee wazidi kufunguka wa nyanja zote za ubaharia, vita vya ukombozi, kukeba box kwa diaspora hata wale watembezi kimataifa na kidiplomasia yajitokeze ku share mambo haya yatawapa confidence watanzania kuwa nje tunaweza iwe biashara, useremala, kuchomelea vyuma, udereva, udaktari, banking n.k kwa kifupi shughuli zote.
 
Yote kwa yote Bado Wanajeshi wetu (TPDF) waliostaafu baada ya kazi iliyotukuka wamesahaulika kwenye Maslahi/Mafao yao. Hili sio sawa.
 
Wajiongeze kusimulia kazi zao, jamii itatambua kujitoa kwao na kuwakubali ni mashujaa wa taifa.

Kukosa simulizi za operation zao nyingi inafanya jamii kutokubali mchango wai mkubwa katika masuala ya ulinzi, pia vijana wadogo wanakuwa hawana simulizi za kuwavutia kujiunga na jeshi kutokana na kuwepo siri kuu.

Nchi zingine wanajeshi, makachero na watu wa usalama huruhusiwa kusimulia mapito yao, na kiaina inatia hamasa vijana wa fani mbalimball kujiunga na majeshi hayo.

Leo vijana tunasikia simulizi za kina colonel Mahfoudh mzanzibari aliyezikwa katika makaburi ya mashujaa wa Mozambique jijini Maputo. Baada ya yeye pengine aliyefunguka kwa undani ni jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya mstaafu CDF TPDF.

1725370536512.png
Samora Machel eventually took him as an adviser to Mozambique.Thanks my Tanzanian brother Arif
for the pic

Ulinzi channel youtube ifanye namna ya kuwapa nafasi wastaafu wa ngazi mbalimbali wasimulie nishani zao za kutukuka kwa operesheni za kijeshi walizoshiriki.

Pia wastaafu wetu waandike, wakubali kuhojiwa na channel za kibinafsi za kiraia, ili historia iwepo.
 
Uongo! Aliyeongoza ni Ngwilizi hadi kuzawadiwa mke.

..Ngwilizi aliwahi kutumikia Seychelles, na Msumbiji.

..Operation ya Comorro ilitekelezwa akiwa ameshaingia ktk siasa.

..Hii habari niliyoileta haiwezi kuwa ya uongo kwasababu inathibitishwa na Rais Kikwete, na CDF Mwamunyange, ambao walikuwa viongozi wakati huo.
 
Wajiongeze kusimulia kazi zao, jamii itatambua kujitoa kwao na kuwakubali ni mashujaa wa taifa.

Kukosa simulizi za operation zao nyingi inafanya jamii kutokubali mchango wai mkubwa katika masuala ya ulinzi, pia vijana wadogo wanakuwa hawana simulizi za kuwavutia kujiunga na jeshi kutokana na kuwepo siri kuu.

Nchi zingine wanajeshi, makachero na watu wa usalama huruhusiwa kusimulia mapito yao, na kiaina inatia hamasa vijana wa fani mbalimball kujiunga na majeshi hayo.

Leo vijana tunasikia simulizi za kina colonel Mahfoudh mzanzibari aliyezikwa katika makaburi ya mashujaa wa Mozambique jijini Maputo. Baada ya yeye pengine aliyefunguka kwa undani ni jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya mstaafu CDF TPDF.

Ulinzi channel youtube ifanye namna ya kuwapa nafasi wastaafu wa ngazi mbalimbali wasimulie nishani zao za kutukuka kwa operesheni za kijeshi walizoshiriki.

Pia wastaafu wetu waandike, wakubali kuhojiwa na channel za kibinafsi za kiraia, ili historia iwepo.

..nimeona Brig.Gen.Ambrose Bayeke amehojiwa.

..tatizo aliyemhoji hana uzoefu wa kuuliza maswali mazuri.
 
Back
Top Bottom