Hii ni simulizi nzuri kuhusu vita vya kukomboa kisiwa cha Anjouan toka mikononi mwa waasi.
Majeshi yetu yalikuwa chini ya uongozi wa Brigedia Jenerali Daniel Igoti ambaye alikuwa akisaidiwa na Luteni Kanali Shabani Lissu.
Soma: Tanzania's contribution to the liberation of Comoro
Fuatilia simulizi kuhusu tukio hilo hapa chini.
Yote kwa yote Bado Wanajeshi wetu (TPDF) waliostaafu baada ya kazi iliyotukuka wamesahaulika kwenye Maslahi/Mafao yao. Hili sio sawa.Tanzania na hasa jeshi letu la TPDF wawaruhusu wazee hawa wawe wanaandika vitabu, kufanya mahojiano marefu ili historia infinite jamii yetu ya kiTanzania na ulimwengu mpana.
Stori kama hizi pia ni sehemu ya kufungua nchi kama sera ya kidiplomasia ya kufungua inavyosema. Askari hawa kwa simulizi zao zinaleta ukaribu baina ya Tanzania na dunia katika masuala mtambuka ikiwemo biashara, uchumi na utalii.
Wazee wazidi kufunguka wa nyanja zote za ubaharia, vita vya ukombozi, kukeba box kwa diaspora hata wale watembezi kimataifa na kidiplomasia yajitokeze ku share mambo haya yatawapa confidence watanzania kuwa nje tunaweza iwe biashara, useremala, kuchomelea vyuma, udereva, udaktari, banking n.k kwa kifupi shughuli zote.
Yote kwa yote Bado Wanajeshi wetu (TPDF) waliostaafu baada ya kazi iliyotukuka wamesahaulika kwenye Maslahi/Mafao yao. Hili sio sawa.
Samora Machel eventually took him as an adviser to Mozambique.Thanks my Tanzanian brother Arif
for the pic
Uongo! Aliyeongoza ni Ngwilizi hadi kuzawadiwa mke.Hii ni simulizi nzuri kuhusu vita vya kukomboa kisiwa cha Anjouan toka mikononi mwa waasi.
Majeshi yetu yalikuwa chini ya uongozi wa Brigedia Jenerali Daniel Igoti ambaye alikuwa akisaidiwa na Luteni Kanali Shabani Lissu.
Soma: Tanzania's contribution to the liberation of Comoro
Fuatilia simulizi kuhusu tukio hilo hapa chini.
Uongo! Aliyeongoza ni Ngwilizi hadi kuzawadiwa mke.
Wajiongeze kusimulia kazi zao, jamii itatambua kujitoa kwao na kuwakubali ni mashujaa wa taifa.
Kukosa simulizi za operation zao nyingi inafanya jamii kutokubali mchango wai mkubwa katika masuala ya ulinzi, pia vijana wadogo wanakuwa hawana simulizi za kuwavutia kujiunga na jeshi kutokana na kuwepo siri kuu.
Nchi zingine wanajeshi, makachero na watu wa usalama huruhusiwa kusimulia mapito yao, na kiaina inatia hamasa vijana wa fani mbalimball kujiunga na majeshi hayo.
Leo vijana tunasikia simulizi za kina colonel Mahfoudh mzanzibari aliyezikwa katika makaburi ya mashujaa wa Mozambique jijini Maputo. Baada ya yeye pengine aliyefunguka kwa undani ni jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya mstaafu CDF TPDF.
Ulinzi channel youtube ifanye namna ya kuwapa nafasi wastaafu wa ngazi mbalimbali wasimulie nishani zao za kutukuka kwa operesheni za kijeshi walizoshiriki.
Pia wastaafu wetu waandike, wakubali kuhojiwa na channel za kibinafsi za kiraia, ili historia iwepo.