Meja Kunta ndio the best Singeli singer Ever

Kuna ile aliyoimba na lavalava jina limenitoka kidogo Kali ile mbaya na ile pia aliyoifanya na Malkia karen inaitwa Sina ni 🔥🔥. Huyu jamaa amenifanya nipende mziki wa singeli kiasi fulani ana ladha unique tofauti na waimbaji wenzake
 
Kuna ile aliyoimba na lavalava jina limenitoka kidogo Kali ile mbaya na ile pia aliyoifanya na Malkia karen inaitwa Sina ni [emoji91][emoji91]. Huyu jamaa amenifanya nipende mziki wa singeli kiasi fulani ana ladha unique tofauti na waimbaji wenzake
"Wanga Wabaya" (Yanga Wabaya[emoji1787])

Yule ni Mnyama,,
 
Kuna ile aliyoimba na lavalava jina limenitoka kidogo Kali ile mbaya na ile pia aliyoifanya na Malkia karen inaitwa Sina ni [emoji91][emoji91]. Huyu jamaa amenifanya nipende mziki wa singeli kiasi fulani ana ladha unique tofauti na waimbaji wenzake
Sio kwa Sauti, Siyo kwa Mashairi Ukija Kideo ndio anaua mazima,,[emoji119]
 
Kuna ile aliyoimba na lavalava jina limenitoka kidogo Kali ile mbaya na ile pia aliyoifanya na Malkia karen inaitwa Sina ni 🔥🔥. Huyu jamaa amenifanya nipende mziki wa singeli kiasi fulani ana ladha unique tofauti na waimbaji wenzake
Inaitwa "Wanga"
 
Back
Top Bottom