Niwashukuru jf member wote, meamua tu nijitamhulishe japo ni kitambo toka nijiunge, ila nimeamua niwe active saiv na hasa nishiriki kuzika kiki na upotofu wa vijana wasiojielewa
Nakiri namkubali sana magufuri, naipenda sana ccm, na mzalendo sana kwa nchi yangu