Melania Trump abeba mtoto wa kikenya kwa mara ya kwanza!

Kweli mnapenda kubebwa ,hata sisi tunawabeba kwa mengi mbali ya watoto.
 
Tihihi... I like the sarcasm in this one
 
Yeye hana shida, phd za dharau na ubaguzi zimelala kwa mume wake
 
Kumbe alishawahi kubeba mtoto Wa kiafrika huko nyuma japo hakufurahi tu ,sio ?
 
Haya basi ni mwendo wa kuwagusa na kuwabeba watoto wa Kiafrka kwa mara ya kwanza

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…