Melania Trump abeba mtoto wa kikenya kwa mara ya kwanza!

Hapo si Kenya ngamia hii. That's Ghana. This is Kenya[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mke wa raisi wa 45 wa USA M.Trump akifurahia kubeba mtoto wa Kiafrika ( Kenya) kwa mara ya kwanza tangia azaliwe, ...

View attachment 887276
 

Attachments

  • ngbshvu8m8wvghipad5bb65d31681ec.jpeg
    36 KB · Views: 21
These guys like painting fake news about Kenya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakidhani hatujui. Ati "Mtoto wa kikenya" Yet the first Lady was received by Margaret & a flower girl! Tena Usiku! Uwongo Muache majamaa
Kumbe ni Ghana. Yuko wapi yule kilaza mbaguzi wa rangi ?kumbe alikuwa anamcheka mtoto kutoka nchi nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…