johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Meli zote tatu zinazotoa Huduma katika ziwa Nyasa zimeharibika na meneja wa TPA amesema matengenezo yanasubiri kwanza tathmini kutoka Shirika la Bima la taifa (NIC)
Naye Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh Homera ameitaka TPA makao makuu pamoja na Wizara ya uchukuzi kueleza ukweli tatizo la meli hizo ni nini badala ya kuwataabisha wananchi walioaminishwa kwamba tatizo la meli ziwa Nyasa sasa ni historia.
Chanzo: ITV habari
Mungu wa mbinguni atusaidie Kilombero mpunga unaliwa na viwavijeshi.