johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Spidi ya ujenzi wa meli hizo ilishangaza wataalam waliobobea katika fani hiyo. Huwezi kutoa amri kwa watu walio na ujuzi wa kazi fulani kuimaliza kazi hiyo kwa muda mfupi kama unavyotaka wewe.Hizo meli zilikaa ziwani hata miezi 4 zikapaki na hapo zina mwaka 😄😄.
Songoro marine na Serikali ya wanyonge ndio inahusika.
Tufuatilie na maeneo mengine huenda Nako zimepaki ila watu wame mute.Spidi ya ujenzi wa meli hizo ilishangaza wataalam waliobobea katika fani hiyo. Huwezi kutoa amri kwa watu walio na ujuzi wa kazi fulani kuimaliza kazi hiyo kwa muda mfupi kama unavyotaka wewe. Tuheshimu kazi za wenzetu vinginevyo mambo yakiharibika basi wa kulaumiwa ni wale wale wanaotoa amri za kiajabu ajabu tu. Tusubiri na haya majengo yanayojengwa kwa spidi ya umeme. Time will tell.
Haraka haraka haina baraka,hiyo ni expansion joint ya meli.Wamechukua Engine Ama Nini
Mzilankende Angetimua Faster Hao
Kwai umeambiwa tatizo ni nini au wewebuna mawazo yako tu?Spidi ya ujenzi wa meli hizo ilishangaza wataalam waliobobea katika fani hiyo. Huwezi kutoa amri kwa watu walio na ujuzi wa kazi fulani kuimaliza kazi hiyo kwa muda mfupi kama unavyotaka wewe. Tuheshimu kazi za wenzetu vinginevyo mambo yakiharibika basi wa kulaumiwa ni wale wale wanaotoa amri za kiajabu ajabu tu. Tusubiri na haya majengo yanayojengwa kwa spidi ya umeme. Time will tell.
Aliyetengeneza hizo meli ni wa nyumbani anaitwa Songoro MarineWamechukua Engine Ama Nini
Mzilankende Angetimua Faster Hao
Mtangulizi wake alifanya nini. Hizo meli toka zimekamilika ni matatizo tu, hasa hiyo namba 3 ilikuwa haifanyi kazi kwa miezi 9, juzi imetengenezwa imekwenda safari moja tu, imepasua engine block mala zitake kuzama ziwani, na jiwe ndio alimpa tenda kampuni ya Songolo marine, pale waziri/rais aunde tume tu watabaini mengi yaliyojificha!!leo meneja anasema eti NIC, ndio wanasubiliwa kuja kufanya tathimini ya uharibifu.Mama samia ni kibogoyo (Hana uwezo wa kung’ata) kama mtangulizi wake kesharuhusu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Songoro ni kampuni binafsi ya mwendazakeMtangulizi wake alifanya nini, ?hizo meli toka zimekamilika ni matatizo tu, hasa hiyo namba 3!!!ilikuwa haifanyi kazi kwa miezi 9, juzi imetengenezwa imekwenda safari moja tu, imepasua engine block!!!mala zitake kuzama ziwani, na jiwe ndio alimpa tenda kampuni ya Songolo marine,.pale waziri/rais aunde tume tu watabaini mengi yaliyojificha!!leo meneja anasema eti NIC, ndio wanasubiliwa kuja kufanya tathimini ya uharibifu.
Tunawezaje kuisahau meli ile iliyotafuna mihela yetu kibwege tu?Magufuli alikuwa ni bingwa wa vitu vibovu . Mnaikumbuka Mv. Dar es Salaam?
ChatoHivi mwenye Songoro marine asili yake wapi?