Meli huwa inapelekwaje baharini?

Mwalimu Hema

Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
88
Reaction score
67
Najiuliza kila siku kiwanda cha meli kikoje? Kiko karibu na bahari au vipi? Na kama sio? Meli huwa inapelekwaje baharini kuanza majukumu ndugu zangu, maana nimejiuliza muda mrefu nakosa majibu.

Naomba msaada wenu wadau.
 
Ingia tu youtube mambo yote utayaona,kama alivyosema 'Playboy'
 
Inatengenezwa karibu na bahari lakini kunakuwa kumejengwa kwa namna ambavyo unaweza kuruhusu maji yaingie au yatoke. Ikishakamilika, ndipo wanaruhusu maji yaingie pale iliko. Kisha inaelea na kuendeshwa hadi baharini.
 
Inatengenezwa hewani kisha inarushwa baharini tayari kwa kuanza kazi
 
Reactions: MC7
Najiuliza kila siku kiwanda cha meli kikoje? Kiko karibu na bahari au vipi? Na kama sio? Meli huwa inapelekwaje baharini kuanza majukumu ndugu zangu, maana nimejiuliza muda mrefu nakosa majibu.

Naomba msaada wenu wadau.
name nimi nataka kujua kuhusiana na ndege
 
Meli inajengewa ufukweni mwa maji hafu ikikamilika wanaitwa watu wenye nguvu wanaisukumiza majini
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…