Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Kuna mpopo mmoja kino hapo miaka mingi alipiga hela sana,jamaa ni kula tu videmu vipoyoyo na migari mizito.Hapa Tanzania kuna wauza unga na wana nguvu kubwa sana kwa mfano kuna jamaa anaitwa Almasi alikamatwa kipindi cha yule mama mkenya aliyekuwa anatafutwa na Marekani ila kwa sasa yupo mtaani kama miaka mitano iliyopita.
Hata ishu ya chonchi wa magomeni Kagera mtashangaa atatoka kwenye rufaa.
Ndio waweke walete walete DJ piga ile ile nyimbo pendwaIn brief, kama ndio kina Abdul, wapo ligi daraja la kwanza katika haya madawa ya kulevya.
Uyu Bwana ni muhuni kama wahuni wengine, siku inakuja atajuta na ka mdomo kakeGerson Msigwa amesahau kusema.
CJNG, maybe the biggest drug cartel in Mexico, cartel ya El Mencho aliyeuawa juzi,ndio Ile meli iliyokuwa yao .
El Salvador inafanya haya mambo kwa kupewa Intelligence reports na Marekani.
In brief, kama ndio kina Abdul, wapo ligi daraja la kwanza katika haya madawa ya kulevya.
Hii video nimeona sasa hivi, but now I can't hunt it down.
Maybe someone else can find it.
Uyu Bwana ni muhuni kama wahuni wengine, siku inakuja atajuta na ka mdomo kake
Uyu Bwana ni muhuni kama wahuni wengine, siku inakuja atajuta na ka mdomo kake
Majambazi wa madawa ya kulevya hawagombani na monks( kama mimi).Uyu Bwana ni muhuni kama wahuni wengine, siku inakuja atajuta na ka mdomo kake
Kuna uhusiano mkubwa wa serikali haramu ya CCM na magenge ya wauza ngada huko America ya Kusini. Hata staili ya kuteka, kutesa, kuua na kupoteza wapinzani wake wameicopy kutoka magenge haya ya wauza ngada maana ndiyo wanavyofanya kwa washindani wao kwenye biashara yao.Tuconnect dots. Mange Kimambi aliambiwa na FBI ni watu gani wamepewa dili la kummaliza huko huko City of Angels? Tuconnext dots, baadae nani mwingine alisema atafanya kila awezalo kumdaka. Tuconnect dots.....