Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona haujiaminiwapinzani pamoja na washirika wao kutoka +254 watapinga na kubeza humu wataseam sio kipaumbele cha nchi hii .....
WATAPATA TABU SANA.
sasa baada ya hio meli kutengenezwa wapinzani watapataje tabu? au ume cremwapinzani pamoja na washirika wao kutoka +254 watapinga na kubeza humu wataseam sio kipaumbele cha nchi hii .....
WATAPATA TABU SANA.
Kwenye hili jukwaa hakuna chama kuna u-Tanzania. Mambo ya vyama kuna jukwaa lake.wapinzani pamoja na washirika wao kutoka +254 watapinga na kubeza humu wataseam sio kipaumbele cha nchi hii .....
WATAPATA TABU SANA.
Kwenye hili jukwaa hakuna chama kuna u-Tanzania. Mambo ya vyama kuna jukwaa lake.
Utasikia bibi yangu kule kijijini atafaidikaje na meli? Ha ha ha.wapinzani pamoja na washirika wao kutoka +254 watapinga na kubeza humu wataseam sio kipaumbele cha nchi hii .....
WATAPATA TABU SANA.
sasa baada ya hio meli kutengenezwa wapinzani watapataje tabu? au ume crem
Hongera ila nilijua mnazindua tayari imetengenezwa, kumbe ndio mnajiandaa kutengeneza, hivi ni kipi mumetengeneza au mradi gani mumekamilisha maana naona kila sehemu na kila siku ni uanzishwaji wa miradi, lini mtakamilisha hata moja muitumie kwenye picha za kampeni, mumesalia na mwaka mmoja muingie kwenye uchaguzi.
Kuna ile SGR mnatupigiaga makelele humu kila siku nilijua mshapiga hatua mpo mnakamilisha, juzi ndio nimeona humu mumeanza kutupa mapicha ya ulazaji wa mataluma ya zege, yaani bado mbali sana, ilhali ni kasafu kenye umbali mdogo sana kilomita 200km wakati sisi tumechana mbuga tupo mbali sana.
Ukiwa na akili za kijani mtu Hana tofauti na funza. Msamehe bure !!!sasa baada ya hio meli kutengenezwa wapinzani watapataje tabu? au ume crem
Ukiwa na akili za kijani mtu Hana tofauti na funza. Msamehe bure !!!
Sent using Jamii Forums mobile app[/
ukiwa na akili za khaki lazima upate tabu nchii hii
#tabuikopalepale
Acha wivu.Hongera ila nilijua mnazindua tayari imetengenezwa, kumbe ndio mnajiandaa kutengeneza, hivi ni kipi mumetengeneza au mradi gani mumekamilisha maana naona kila sehemu na kila siku ni uanzishwaji wa miradi, lini mtakamilisha hata moja muitumie kwenye picha za kampeni, mumesalia na mwaka mmoja muingie kwenye uchaguzi.
Kuna ile SGR mnatupigiaga makelele humu kila siku nilijua mshapiga hatua mpo mnakamilisha, juzi ndio nimeona humu mumeanza kutupa mapicha ya ulazaji wa mataluma ya zege, yaani bado mbali sana, ilhali ni kasafu kenye umbali mdogo sana kilomita 200km wakati sisi tumechana mbuga tupo mbali sana.
https://www.nation.co.ke/news/polit...peaceful-poll/1064-1893004-j93e9vz/index.htmlUzinduzi right left and centre...tushawazoea.