K Kimpyempye JF-Expert Member Joined Dec 11, 2018 Posts 723 Reaction score 1,157 Jun 5, 2021 #21 Kwa hiyo DC ameenda kulala amewaacha watu ndani ya meli inayoyumba?Halafu kama wamefanikiwa kuwapa ma jaketi ya usalama sasa wameshindwa nini kuwaokoa kabisa mbona meli ipo ufukweni kabisa?
Kwa hiyo DC ameenda kulala amewaacha watu ndani ya meli inayoyumba?Halafu kama wamefanikiwa kuwapa ma jaketi ya usalama sasa wameshindwa nini kuwaokoa kabisa mbona meli ipo ufukweni kabisa?