Meli mliyosifia imeleta magari mengi, magari mpaka sasa hayatoki

Meli mliyosifia imeleta magari mengi, magari mpaka sasa hayatoki

SINGLE WINDOW

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
356
Reaction score
278
Ndugu Waziri Mbarawa unahujumiwa huku na wafanyakazi wa TPA yaani wamekaa tu ofisini mpaka sasa huwezi kutoa gari pamoja na kuwa yameshashushwa fuatilia mwenyewe uone.

Wapo tu ofisini wamekaa magari hayatoki. Baadae mseme bandari ndogo kumbe wanasababisha wenyewe msongamano wa magari humo ndani.

Nawasilisha
 
lakini is too much magari yamejazana bandarini halafu watu wamekaa ofisini kitu kidogo tu wanasema tally bado kweli?
 
Hivi Bw Erick Hamissi bado yupo TPA,?.kama bado yupo ni tatizo lingine hilo.
 
Nyoosha mkono kidogo bwana, utaishia kulalamika
 
Waambie waachie magari yetu or else huyo mhusika wa Tally hapo TPA tunamhamishia Kiwira Port au Mbambabay anajifanya hakumuelewa PM juzi eeh!
 
Back
Top Bottom