Meli ya Israeli yavunja katazo la Urusi kuzuia Ngano isisafirishwe kutoka Ukraine kupitia Black Sea

Izi habari za uku nime mute kidogo nafuatalia hawa waafrica wenzangu NIger na West Africa at large
 
Athubutu kuanzisha ugomvi na Israel, jamaa mikwara yake tumeizoea, siku hizi Ukraine wanajipigia majengo ya Moscow, kila siku wanachagua jengo la kupiga.
Israel saizi yake Hesbola, Palestina na Waarabu...Na magaidi...hao wababe wa Ulaya hana cha kufanya...
 
Ni swala la kihistoria kuna waisraeli wapo Russia na Russia inawategemea sana kwa maswala muhimu ya kiteknolojia hivyo kwa Israel Russia lazima awe tu mpole.
Niliposoma title tu nikajua comment ya hivi nitaikuta tu .
 
Sie nyie juzi hapa mlituambia anazuia meli zote, make anawasiwasi hata rafiki zake akina turkey wanamsaliti kupitia Sheena za ngano
Russia haijazuia Meli kuingia Black Sea ila kilichopo amesitisha mkataba ambao ukizipa fulsa meli kuingia bandar ya Odesa bila kushambuliwa, kwiayo kama utaingiza meli Bandar ya Odesa ukikutana na Kombola sawa ukipita salama kheri.
 
Niger imefunga lake ila kuna ndege jion hii zimetumia anga ya Niger na nyingine kitua kabisa NIAMEY Mji mkuu wa Niger
 
Israel saizi yake Hesbola, Palestina na Waarabu...Na magaidi...hao wababe wa Ulaya hana cha kufanya...

Kwa sasa Urusi mliyokua mnategemea haina jeuri kwa Israel, haina jeuri hata kwa mataifa ya waarabu miungu wenu waliokua wanaitegemea hiyo Urusi.
 
Niger imefunga lake ila kuna ndege jion hii zimetumia anga ya Niger na nyingine kitua kabisa NIAMEY Mji mkuu wa Niger
View attachment 2712143View attachment 2712145View attachment 2712144

Wamewasiliana na serikali ya NIGER hawawezi wakajiingiza kibishi kuna risk ya kupoteza ndege kabisa.

Ni same kwa hio meli ya israel itakua imeomba ruhusa kuingia hapo.

Israel na Russia wana mawasiliano mazuri hata wakati wa vita pale Syria walokua wanaelewana.

Tumeshuhudia NETA nyau akienda urusi mara kwa mara wakisaini mikataba ya maelewano.
 
Hata israel kaombwa sana silaha na zelensky za kulinda anga netanyau kama hasikii
 
putin hana noma na israel.. atakausha tu.
Sasa mara meli ya india, south, brazil, china na israel zikapita zikawa zinachukua ngano kwa niaba ya wazungu itafanyaje. Ukigombana na beberu ni shida sana
 
Sasa mara meli ya india, south, brazil, china na israel zikapita zikawa zinachukua ngano kwa niaba ya wazungu itafanyaje. Ukigombana na beberu ni shida sana
Hao wote ni marafiki wa urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…