Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

Hiyo ya huko tupo then kuna nyingine kati ya TZ na USA ya wiki 6,ndio niliyoisemea mimi

 
Hiyo ya huko tupo then kuna nyingine kati ya TZ na USA ya wiki 6,ndio niliyoisemea mimi

View attachment 1872588
Hizo za joint training ya special forces tumezifanya nyingi sana , mpaka sikuhizi tunashiriki katika mashindano ya SOF duniani kwa mfano kule Jordan... Kwenye mashindano ya Annual Warrior competition.


Kuna mashindano mengine kule Texsas pia tumeshiriki.... Yani mashindano makali, timu ya kama mtu 7 ya KDF inaenda head to head na timu ya Delta force au Navy Seals. Yani mnapewa targets Kila timu inahesabiwa dakika walizochukua kumaliza adui, atakayepata points nyingi anaenda next stage kupambana na timu nyingine hadi mwisho wa siku the best team wins... Kuna section flani ya mashindano tulikua number 3 tukashtua special forces wa nchi zengine waliobobea kama kina Israel na UK . Tunavyo zaidi kushiriki ndo tunabobea na kujifunza tactics tofauti tofauti tunazoziona huko kwa nchi zilizo na uzoefu wa kufanya haya mambo....

Kwahivyo kwa kifupi, joint training si Jambo la kushangaza, hili la navy ships ndo sijawahi kuona ikifanyika huku.
 


Yaa mnahitaji kusaidiwa chakula na ulinzi. Maana kwenye nafasi za kimataifa mnatisha.

CC: joto la jiwe

 
Inakuaje basi watanzania wengi wanakufa kuliko wakenya? Mko na amani, mko na chakula, mko na maji.. lakini bado mnakufa kwa wingi kuliko Kenya!
 
Inakuaje basi watanzania wengi wanakufa kuliko wakenya? Mko na amani, mko na chakula, mko na maji.. lakini bado mnakufa kwa wingi kuliko Kenya!

Sijakuelewa, maana unaongea bila hata kuwa na kitu hususa.
 
ndio maana nimesema mnachotuzidi ni kiingereza tu, tena chenye lafudhi ya kenya, vingine vyote mataputapu. au hukunielewa?
Halo zezeta leo hujankunwa kikombe ya kiti-mtu soup na pilipili
Madudu ya ccm kichwan nenda uza toronto upssss tabo.ra
 
Nilipotazama tu hizo picha za meli ya kivita, nikajua lazima kuna mtu kakurupuka kuandika, nilipoangalia na picha ya tangazo la nafasi za kazi eti kwa walimu wa waliosoma Kenya, nikajua kuna mtu ana matatizo hasa ya elimu ndogo au wakati wenzake wakisoma yeye alikuwa anawaza karanga na njugu.
We jamaa angalia vizuti hizo picha za meli na hilo tangazo la nafasi za kazi kama haujaona ujanja wa watoto wa mjini, achana na hii habari, unazidi kujionyesha kuwa haujui kitu.
 
We jamaa inaonakana unapapenda sana bongo , maana kila kitu lazima ulinganishe na bongo , mbona sisi wabongo hua hatuna time na Kenya aisee , yani sijui hua hauna kazi ya kufanya , kila siku kutafuta vitu vya kulinganisha , haya sasa hilo meli limewaletea msosi au VIP ,
Karibu bongo land mkuu huku ni fulu amani , huku hakuna alshabab
 

Hehehe!! Mnavyoweweseka, wapi hapo Bongo imetajwa, jiwe la gizani limekukuta....
 
Kijeshi? Hebu tupe kipimo ukichotumia kupima ubabe wa kijeshi
 

Haiya dayaspora wa Buza bado upo??? Bado unahangaika humu....hehehe....ulibaki na juha mwenzio Gwajima aliyekua mshauri wa mwenda zake mpaka akamponza kwa mambo ya corona na kusababisha msiba wa kujitakia, naona wenzako wote walishatia akili na kuanza kuchanjwa.....


 
MK254 sisi tungekuwa na akili ccm isingekuwepo Leo madarakani hivyo mkuu usipoteze nguvu kubishana na sisi watanzania vibwengo mbilikimo wa akili.

Chama hakina shida yoyote. Shida ni watu. Kama suala ni vyama mbona Malawi, Zambia, Kenya wamebadilisha vyama lkn hamna la maana wanalofanya. Lkn pia ukienda China, Cuba, Botswana, Namibia wana vyama vile vile lakini maendeleo yao ni makubwa mno.
 
That is another topic bro. Talk about the issue at hand.
No it's not. Unasema Kenya ni dangerous... na pia ukasema tunahitaji kusaidiwa kwa ulinzi na chakula.....So what happens when there is no security and there is no food?..... Vifo kwa wingi... So inakuaje Watanzania wengi wanakufa kuliko wakenya licha ya nyinyi kua nchi ya amani tena yenye maziwa na asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…