Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa

Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa

Februari 3, 2025 Meli ya kifahari ya Ledumont D'urville ikiwa na watalii 146 kutoka nchi za Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, na Italia waliofika na kutembelea hifadhi na fukwe ya kihistoria ya Kilwa Kisiwani.

Hii ni meli ya tatu mwaka huu kutembelea visiwa hiyo zikiwa na mamia ya watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia hali inayoonesha ongezeko kubwa la utalii wa meli nchini

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 

Attachments

  • VID-20250207-WA0096.mp4
    18.5 MB
Back
Top Bottom