Meli ya kubeba mafuta yenye bendera ya Tanzania, MT ASANA, imetekwa nyara

Siku Vijana wa bongo wakigundua hii ni ajira, mafisadi na machawa wote watarudi mstalini kwa heshima 😁
 
The Incident: On July 17, 2026, seven armed men boarded the vessel. The ship was en route from India via Mukalla, Yemen, to its declared destination of Bosaso, Somalia.
 
Hivi kwenye meli hakuna askari ,marine Marshall, km ilivyo air marshal?
Kampuni za meli walianza kusafiri na walinzi wenye binafsi wa makampuni wenye mafunzo ya majini na silaha za moto muda utekaji umeshamiri 2008-09 sijui kama hiyo meli haikua na askari.

Nadhani hata nahodha wengi wanapitia kozi ya kujihami kwa silaha za moto kama marubani walipoanza mafunzo na kuruhusiwa kuingia na silaha baada ya matukio ya 9/11
 
Meli yenye bendera ya Tanzania ni tofauti na meli ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…