Meli ya mv victoria ambayo hufanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba sasa ina wiki nzima haijafanya trip yoyote. Inasemekana moja ya engine yake ni mbovu na alhamisi iliyopita ilibidi abiria washushwe melini na warudishiwe nauli zao mida ya saa tano usiku na hadi sasa haijulikani itaanza lini safari Hivyo kwa wale ambao mmekuwa na utaratibu wa kufika mwanza kuunganisha safari usiku na hii meli tafuteni njia mbadala.