Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Unaona noma kusema walikuwa wanawala viboga wazamiaji (Mabaharia)...Mabaharia wengi wa meli za kigiriki ilikuwa wakimkamata mzamiaji wanamfanyia vitendo vichafu mpaka ikafikiwa hatua ya meli zao kuogopwa na wazamiaji.
Hii kutembea kwa kudunda walikuwa wanasema ni kutokana na mawimbi na kuvaa safety boot nzito muda mwingi.Mwingine alizamia kwny meli ya wagiriki alivyorudi bongo akawa anatembea anadunda dunda kisharo, akaulizwa na dingi ake kwanini unatembea hivyo akasema dingi nilikaa kwny meli muda mrefu so ule mtikisiko wa yale mawimbi yanavyopiga kwny meli ndio umefanya nitembee hivi.
Dingi yake akamwambia acha ujinga wewe mi mwaka wa 35 ntamtomb. Mama yako unataka niwe natembeaje sasa.
Ndio, wengine mpaka walikuwa wakitupwa kwenye maji na kuuliwa.Unaona noma kusema walikuwa wanawala viboga wazamiaji (Mabaharia)...
Mambo kibao walifanyiwa mpaka sheria ilipokuja kuwekwa saizi ukikamatwa kama mzamiaji utapewa stahiki kama mtu wa kawaida.Walikuwa wanawafwanyaje jamani
Inaitwa DEADLY VOYAGEKuna movie moja niliangalia zamani kidogo, kuna waafrika walizamia Meli ya mgiriki walivyoonekana walipigwa nyundo za kichwa wote akabaki mmoja ndio alifika.
Hawa jamaa hawana Huruma na wazamiaji.
Nilishawahi bahatika kuitazama hii Filamu, OMAR EPPS ni mmoja wa wale MABAHARIA (Wazamiaji MELI) kutoka GHANANdio, wengine mpaka walikuwa wakitupwa kwenye maji na kuuliwa.
Baadhi ya vitendo vilionyeshwa katika moja ya movie iliyoigiwa inaitwa DEADLY VOYAGE.