Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
wanajipigia hela, wanakula kwa urefu wa kamba zao as per ruhusa ya mkuu! Bora wasivimbiwe as per ruhusa ya mkuuMeli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika.
Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya Mwanza Kusini, ilihamishiwa bandarini hapo tayari kwa kuanza kutoa huduma za usafiri kwa abiria kati ya Mwanza na Kisiwa cha Ukerewe.
Sources Via Azam tv
Taarifa zaidi za kuzama kwa meli hiyo zitakujia kadri zitakavyopatikana.
V8 zianze kufululiza uelekeo Kwanza sasa. Mi camera kama yoteMeli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika.
Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya Mwanza Kusini, ilihamishiwa bandarini hapo tayari kwa kuanza kutoa huduma za usafiri kwa abiria kati ya Mwanza na Kisiwa cha Ukerewe.
Sources Via Azam tv
Taarifa zaidi za kuzama kwa meli hiyo zitakujia kadri zitakavyopatikana.
KAMA imezama BILA kubinuka, HIYO NI AJALI YA KAWAIDA. Vinginevyo KAMA imebinuka, LAZIMA KUNA external force iliyoTUMIKA kuibinuaMeli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika.
Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya Mwanza Kusini, ilihamishiwa bandarini hapo tayari kwa kuanza kutoa huduma za usafiri kwa abiria kati ya Mwanza na Kisiwa cha Ukerewe.
Sources Via Azam tv
Taarifa zaidi za kuzama kwa meli hiyo zitakujia kadri zitakavyopatikana.
Imebinuka kabisaKAMA imezama BILA kubinuka, HIYO NI AJALI YA KAWAIDA. Vinginevyo KAMA imebinuka, LAZIMA KUNA external force iliyoTUMIKA kuibinua
Kuna mtu labda kaharibu kitu inaitwa air tank. Nilijua hili ile meli ya wachina wavuvi ktk bahari ya hindi eneo letu walivyozamisha ile meli polepole. Wataalamu walikuwa wanazungumzia kuharibu air tank meli inazama. Au wataalamu watueleze zaidi juu ya hili.Meli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika.
Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya Mwanza Kusini, ilihamishiwa bandarini hapo tayari kwa kuanza kutoa huduma za usafiri kwa abiria kati ya Mwanza na Kisiwa cha Ukerewe.
Sources Via Azam tv
Taarifa zaidi za kuzama kwa meli hiyo zitakujia kadri zitakavyopatikana.
An external agent lazima itakuwa imefanya kaziImebinuka kabisa