K Kulwa Jilala JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 3,891 Reaction score 8,448 Feb 27, 2023 #1 Meli ya MV Mwanza hapa kazi tu, licha ya kuchukiwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla imegeuka kuwa gumzo kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na kati, kutokana na maajabu yake ya ukubwa na kasi yake.
Meli ya MV Mwanza hapa kazi tu, licha ya kuchukiwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla imegeuka kuwa gumzo kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na kati, kutokana na maajabu yake ya ukubwa na kasi yake.
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Feb 27, 2023 #2 Huku sasa hivi wamepeleka Kenya kufanyiwa matengenezo ya MV Magogoni.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Feb 27, 2023 #3 Sasa kwa nn hawakumpatia huyo mkandarasi tenda kivuko hadi kimepelekwa Kenya kwa gharama kubwa
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Feb 27, 2023 #4 ILISACHA said: Sasa kwa nn hawakumpatia huyo mkandarasi tenda kivuko hadi kimepelekwa Kenya kwa gharama kubwa Click to expand... 10% watapataje?
ILISACHA said: Sasa kwa nn hawakumpatia huyo mkandarasi tenda kivuko hadi kimepelekwa Kenya kwa gharama kubwa Click to expand... 10% watapataje?
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,207 Reaction score 17,674 Jul 29, 2024 #5 Mpaka leo kimya