Wewe usisikie majina makubwa ukadhani wanaweza kila kitu, watu washawajuwa hao nguvu zao ziko wapi. Afghanistan wameifunguwa macho dunia, kuwa hao si lolote si chochote nje ya midege na mikombora ya kurusha kwa mbali, ukishajuwa kujihami nayo hiyo, hawana ujanja.
Sasa hivi hata manowari lao kubwa la kubeba ndehge washalikimbiza baadra ya kushambuliwa mara mbili na Wayemeni.
wayemeni sasa hivi wanatanuwa tu, wanapiga bahari nne kwa pamoja. Red sea, Indian Ocean, Arabian Sea na Mediterrenean Sea. kwa raha zao.
Jamaa sasa wameshajuwa kuzitunguwa drone zao za kuja kuwachungulia na kuwashambulia, wanaogopa kutuma ndege za marubani.
Mchina na na rafiki yao kiduku Mkorea wapo kimyaaaaaaaa, kama siyo wao.