When you think someone is or are in trouble due to the lack of justice and you think you are safe because haijakugusa, just learn everything happens in circle. Wakati wsko ukifika ndo utajua now the shit is knocking in the backyard🤣😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa bandari ya salama ina kosa gani? Sisi hatuna ugomvi na mtu
Hivi nauliza tu ndugu hawawezi kuzungukia kule juu kwa Spain japo naona ni mbali sanaIsrael ina mboga mboga na nyama wanazolima kwenye ardhi haramuj.Vyengine lazima vitoke nje.
Houth wamejua wapi pa kupiga.
Nenda kawasaidie unalia lia nini.Ila siku upepo ukigeuka, na sio mbali, wasianze kumwita allah
Spain tena njia rahisi wazunguke Africa nzima.Hivi nauliza tu ndugu hawawezi kuzungukia kule juu kwa Spain japo naona ni mbali sana
Ufahamu lolote kuhusu Yemen anapambana Israel, hizo porojo zako bandari yetu ishambuliwe kwa lipi?Mtakapoona meli z8nazotia nanga bandari ya salama zinashambuliwa pua ndipo mtazinduka na kuacha kushabikia upuuzi wa hizi vita zinazoonesha uhayawani wa binadamu.
Mzee wa propaganda umeibukia humuUfahamu lolote kuhusu Yemen anapambana Israel, hizo porojo zako bandari yetu ishambuliwe kwa lipi?
Mzee wa propaganda umeibukia humu
Haya mkuu
Allah ni wa wote hata hushangai watu wenye silaha kali na technojia yote kushindwa kukimaliza kikundi kidogo tu cha hamas kwa zaidi ya miaka 70 sasa na kushindwa kuwaokoa mateka zaidi ya 100 kwa zaidi ya miezi mitatu , huoni uwepo wa mungu hapo?Ila siku upepo ukigeuka, na sio mbali, wasianze kumwita allah
Bidhaa zitakuwa ghari sana kutokana na gharama za usafirishajiHivi nauliza tu ndugu hawawezi kuzungukia kule juu kwa Spain japo naona ni mbali sana
Angalia tabu anayopata israel sasahivi , itabidi aizunguke africa ili kuwakwepa wanaumePoleni sana, nasikitika watu wa Yemen kipigo kikianza huyo Allah hatawasaidia, youth wanawasha moto halafu hawawezi kuuzima, ni suala la muda tu, mtatafutana
Washukiwe na kiama mara ngapi? Vita ya Saudia na Yemeni ilipangwa na kufadhiriwa na marekani na genge lake, na mkafanya kila aina ya uharibifu ikiwa kuwatia njaa na maradhi. Matokeo yake mmewatia usugu na sasahivi wa Houth wanapenda vita kuliko chakulaMsianze kuwashangilia ila kiyama kikiwashukia mnaanza kupiga kelele za kuonewa
Acha ulongo, Houth wanazuia meri zinazokwenfa Israel tuKuna watu ambao, thinking capacity zao ni ndogo sana ,Yemen ni kama mlango wa meli zinazokuja toka ulaya na America kuja bahari ya Hindi au kutoka bahari ya Hindi kwenda nchi za magharibi.Sasa mtu anashangilia kabisa akifiri Yemen ni mlango wa meli kwenda Israel.At whatever the case hali ikiendelea kama hivi nchi zitakazo athirka miongoni mwao kwa sehemu kubwa ni nchi za Africa.
Hauthi wanatafutwa sababu, watahiniwa soon. Stay tunnedMeli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa.
Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu ambalo halikukosea shabaha yake kutoka meli 60 ndani ya mamlaka ya Houth wa Yemen.
Meli ya kivita ya Mason iliyokuwa eneo hilo japo ilipokea muito wa shida za shambulio lakini haikuweza kutoa msaada wowote na ipo eneo la tukio ikishuhudia na kuangalia namna ya kutoa msaada mwengine,
Zaidi ya wiki moja iliyopita meli tatu za kibiashara zilishambuliwa eneo hilo hilo na meli ya kivita ya USS corney kupambana na makombora kadhaa ya Houth na mwishowe nayo ikarushiwa kombora na kulengwa kwa droni.
Kwenye shambulio hili jipya la leo meli hiyo USS CORNEY haijatajwa kushiriki kwenze zoezi la kupambana na makombora ya Houth wanaopigana kulenga maslahi ya Israel kutokana na vita vinavyoendelea Gaza.
Commercial Ship In Flames After Red Sea Missile Attack
View attachment 2839998
Weka hapa ushahidi hiyo meli ilikuwa inakwenda Israel.Acha ulongo, Houth wanazuia meri zinazokwenfa Israel tu
Sangoma unataka kuichonganisha Yemeni na Afrika, umefeli sana. Mimi nimesimamia ktk matamko yanayotolewa na Houth kila siku. Wewe ulichokiaema ndio unatakiwa kukithibitisha kwa kutuambia hiyo meri ilikuwa inakwenda wapiWeka hapa ushahidi hiyo meli ilikuwa inakwenda Israel.