Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Wayemeni walisema hawataki kabisa meli za mazayuni ikatize kwenye sehemu wanazozifikia, yaani wasizione kabisa kwenye bahari yao au ya karibu yao, mpaka wawache kabisa kuwauwa na kuwatesa Wapalestina bila ya sababu yoyote.

Baada ya kuiteka meli moja wiki iliyopita sasa wameripua nyingine tatu zikiwa baharini:

Your browser is not able to display this video.


Na hizbollah wanaendelea kutuma makombora ya mbali huko Kaskazini mwa Israel kama mnavyojionea kwenye video clip.
 
Wakiua watoto na wanawake badala ya kupambana na WaHouthis lazima watu waandamane
Houthis wakijificha madrasa au clinic watafariki na watoto wao Mimi sishabikii vita naamin all lives matters vita Ione tu aljazeera au kwa movie za Rambo ila kiuhalisia ni kitu ambabcho huwez kumtakia hata adui yako , Mimi nmeishi Liberia kipind Cha mwisho Cha Charles Taylor acha kabisa mjukuu wangu mambo
 
Nmesikia safina el mamluki israili kweli kiarabu ni kibantu back to the topic wakipigwa mtaandamana na mtapiga ukunga kuomba huruma ya dunya
Sasa hivi hakuna cha kuwazuia mashaheed bali ni mazayuni wasimamishe vita na warudi mwenye nipaka inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa.

Hizi meli tunaoumia sisi, zaidi ya makampuni makubwa 70% yanayomiliki meli yana hisa za wayahudi.

Kilio kwetu, kupanda bei ya kila kitu. Yote kwa ajili mazayuni wanataka nchi ya watu kwa nguvu.


Bunge la Algeria nalo limeruhusu waingie vitani kama Yemen.

Wamisri wameanza kumpinga Rais wao, wanasema ni mzayuni, wanataka aingie vitani yeye hataki.
 
Mlianza wenyewe mkawaua zaidi ya 1000 na hamkuchagua watoto wala wanawake na mkawateka, mlitegemea Nini? acheni kulia lia piganeni au acha mzayuni amalize kazi
Hapana, aidha unakosea kwa kuwa hujuwi ulisemalo au unajifanya u juha tu.

Vita imeanza 1948 Muingereza alipompa mzayuni ardhi ya wapalestina.

Unafikiri bila kusaidiwa na Mmarekani na Mwingereza bado wangeshikilia ardhi ya Wapalesina? Wangesharudi kwenye mipaka yao.

Lakini sasa watarudi wakipenda wasipende. Wacha dunia iwake moto.

Unafikiri hii itaishia huko tu kama mazayuni hawarudi kwenye mipaka yao?
 
Duwh sasa na friends wa mazayuni wakiingia vitani piw hapo siitakua miyeyusho na sisi mashabiki tutaanza kudundana huku mitaani itakua sio poa nadhani tuombee tu amani tu ya Dunia , ila kwa huu mgogoro wa Gaza na ule wa Ukraine nimegundua UN ni mzigo tu kwa Dunia Haina tofaut na geshi letu la wazima mioto
 
Wamelipua. Sio kuripua
 
Iran anachokitafuta atakipata tu, amewindwa kwenye mtego wa Gaza ameukimbia kwa uoga ila kuna siku atanasa tu. Yeye ndiye amehusika kulipuliwa kwa hiyo meli ya mfanya biashara wa israel na hata ile ya kwanza yeye ndiye ali coordinate utekaji wake.
 
Japo siungi mkono kinachotokea Gaza, lakini siungi mkono mtu kufurahia terrorism na kushabikia uharamia!.
Israel ni taifa la Mungu, kuwaita Mazayuni ni sawa na kuwaita Palestinians ni gentiles!.

Japo mimi ni Mkristo lakini siungi mkono Israel inachoifanya Palestine!. Tena niliwahi kushauri Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…