Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

Kiarabu sio kibantu mkuu. Bali kiswahili Ni lugha chotara Kati uarabu na kiarabu Vs lugha za kibantu hasa kigiriama (Kenya) na lugha nyingine za kibantu wakati wa maingiliano ya Waarabu na wabantu
Wakenya wanajipakulia minyama kwenye kiswahili Kama kawaida yao
 
Bali unaunga mkono watu nchini mwao kuwekwa kambi za mateso kwa miaka 75?
Tatizo mnataka kuwasafisha Israel once and for all, mlikataa separate state na mnaamini kufuta Israel ndio solution, sina huruma na watu kama nyie
 
Hakuna asiyejua hilo mkuu, kwanini asihusike moja kwa moja mpaka akajifiche nyuma ya migongo ya hao wahuni uliowataja. Baada ya yale matamko yake ya kuvuka mstari mwekundu aliishia wapi, alifyata kuona zana vita za Marekani sikisogezwa israel.
Sasa angejificha tungejuaje yupo nyuma ya Yemen, Hezbollah na Islamic resistance? Hao siyo wahuni ni watu wanaopigania Haki yao na nchi yao . Iran imetangaza wazi kuwa inawasaidia wapalestina kwa hali na mali kupambana na wahuni wa israeli na marekani.
 
Yahudi huwa hasamei. Hizo meli zitakuja kulipwa na serikali zijazo za Yemen!, Hahudi anadocument hasara na interest zote!
Serekali ipi? Hao wanaoshambulia hizo Meli ni waasi wanapigana pia serikali ya Yemen, hata ufahamu unachokiandika.
 
Serekali ipi? Hao wanaoshambulia hizo Meli ni waasi wanapigana pia serikali ya Yemen, hata ufahamu unachokiandika.
Ungetafakari kwa makini ungeelewa. Nakueleza hivi hata ipite miaka 50, serikali yoyote ya Yemen itakayokuwa madarakani italetewa bili!, haijalishi aliyelipua ni waasi au la, as long as wanawield power yoyote ya kimamlka ndani ya Yemen, basi zigo litatupiwa serikali yoyote ile ijayo hata kama ni hao Wahaouth watashinda civil war. La sivyo hakuna mikopo kutoka IMF, WB au grants. Ndivyo Yahudi anavyooperate!
 
Bunge la Algeria nalo limeruhusu waingie vitani kama Yemen.
Kumbe hawa waarabu wa Algeria ni wapuuzi, hawajui wao ni wavamizi kwenye bara la Waafrika!
Wamisri wameanza kumpinga Rais wao, wanasema ni mzayuni, wanataka aingie vitani yeye hataki.
Hawana uwezo huo.
Watasambaratishwa chap. Hawana mashimo ya kutosha kujificha kama magaidi wa Gaza
 
Kumbe hawa waarabu wa Algeria ni wapuuzi, hawajui wao ni wavamizi kwenye bara la Waafrika!

Hawana uwezo huo.
Watasambaratishwa chap. Hawana mashimo ya kutosha
Wapalestina tu wamewahenyesha huko vibaya sana, sasa wameanza kuchukuwa askari wa kulipwa kutoka Afrika, jionee:
 
we unajidanganya kusema Israel ni taifa la mungu...taifa la mungu linauwa watu wasio na hatia.. watoto na akina mama wana kosa gani mpaka mnawauwa kiasi hiki
 
Hizi habari huwa unaokota wapi!? Acha kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…