Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

Mtanzania anafurahi kulipuliwa meli ya wazayuni.

Kazi kweli kweli.
M Tanzania muislam(m weusi) ana ukaribu zaidi wa kiundugu(unaotengenezwa na dini,) na wa Arab zaidi ya wa Afrika weusi wenzie!
Hivyo hivyo, mkristo yoyote(ukiacha Catholics), ana ukaribu zaidi na wayahudi! Kuliko weusi wenzie.
Muislam mweusi, wa naigeria akiuliwa na bokoharam(magaidi ya kiislam), haiumi Sana kea kwa wa Islam wa bongo kama mwarabu wa Palestine akiuliwa na myahudi,
Upuuzi wa, dini huu
 
Wewe unaongea porojo Yemen uifahamu wewe.
YEMEN ndiyo waarabu peke yao wenye msimamo miaka yote ni taifa kongwe kasome historia Yemem unaleta mambo ya IMF sijui World bank

Hakuna Nchi ingine yoyote yenye msimamo kama Yemen katika hao waarabu wote.

Ndio maana wale mpaka leo ni maskini.
Manake Hela za haramu hawali
Yemen wakiamua kitu wako radhi kufa njaa kuliko kudhalilika.
 
Hawa ndiyo Yemen…
 

Attachments

  • 361e745c-a609-4ccc-b375-d959e6a00261.mov
    8.2 MB
Nchi ile ni ndogo, ila hata ikivamiwa na nani hapa Duniani, mvamizi atajuta baadaye
 
Hizo ni gharama za vita! Hata meli zake zingelipuliwa lakini lazima Israel ifikie malengo yake!
Kama Hamas wanajificha kwenye nyumba za Makazi, Hospitali, Mashule, kambi za Wakimbizi, Miskitini, nk
Israel haina choice nyingine bali ni kulipua nyumba na majengo hayo!
Ndiyo maana raia wengi wa kipalestina wanauawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…