Mkuu Superman hivi mamaa huwaga ana kuwepo ukitumia JF? Hahaha. Msema ukweli mpenzi wa Mungu this lady is beautiful I think to any man's standards.
Kuna mtangazaji wa hali ya hewa wa CNN anaitwa somebody Delgado.God knows that gal is devilishly beautiful
Mkuu; Ndo hivyo tena mambo ya JF ni Ku-Risk wakati mwingine. Mwenyewe sasa hivi amekomalia TV Series za SBC na mimi nimekomaa na Lap Top yangu.
Hata hivyo Mkuu; Mke wangu ni bomba sana na moto wa kuotea mbali Mkuu. Ukweli ni kuwa hata huyu dada anayedhaniwa ni mzuri si lolote si chochote kwa mamsap wangu . . . . haaa haaaa (Mambo ya mwamba ngoma hayo . . .)
Kevo Mkuu . . .
Angalia usije ukajitafutia matatizo kwa mywife wako . . . Ina maana Mkuu kipindi cha hali ya hewa cha CNN hukosekani.
Ngoja nikomae na CNN leo mpaka nimwone . . . mambo ya fahari ya macho hayo . . .
Kila nikimuona huwa ananibariki sana!Mai waifu wangu anajuaga me naangaliaga tuu uabiri wa hali ya hewa ila hajui kama kuna kitu kinanivutia
Ndiyo wakuu,
Kama mdau alivyosema hapo juu, huyu dada anaitwa Mélissa Theuriau 31yrs ni mtangazaji wa vipindi vya asubuhi katika TV ya LCi ya hapa Ufaransa. Ila nafikiri ameolewa mwaka jana na bishoo mmoja hivi.
Cool
Kevo unamzungumzia Jennifer Delgado? Huyo Melissa(jina lake la pili mgogoro kuliandika na kutamka) kuliandika ana miguu mizuri? maana picha zake za miguu adimu kuonekana.
mara nyingi Mungu hakupi vyote: utakuta demu mzuri sana kwa sura- ila miguu ya njiwa!!
wanaume tumetofautiana sana. kuna watu wanazimika tu kwa sura, kama huyu bwana superman. wengine kifua, wengine kiuno, au kibox na hivyo wengine miguu. duu kazi sana.