Sasa kama huyo mwana dada ameolewa sisi inatuhusu nini ndugu yangu Mkeleketwa?Ndiyo wakuu,
Kama mdau alivyosema hapo juu, huyu dada anaitwa Mélissa Theuriau
31yrs ni mtangazaji wa vipindi vya asubuhi katika TV ya LCi ya hapa Ufaransa. Ila nafikiri ameolewa mwaka jana na bishoo mmoja hivi.
Cool
Ahaaa Mkuu, ina maana huo utabiri wala huusikii wala kuuona maana unasikia sauti tu na macho yako hayabanduki kwenye picha ya bintiKila nikimuona huwa ananibariki sana!Mai waifu wangu anajuaga me naangaliaga tuu uabiri wa hali ya hewa ila hajui kama kuna kitu kinanivutia
Ahaaa Mkuu, ina maana huo utabiri wala huusikii wala kuuona maana unasikia sauti tu na macho yako hayabanduki kwenye picha ya binti
Kwani Wakuu; hapa bongo kwenye TV zetu, hakuna akina dada wazuri wenye mvuto?
Samahani Mkuu na wakuu wengine, hivi kama mwanamume utajisikiaje ukisikia watu wanammwagia sifa my wife wako kama hivi? Utavimba kichwa au ndo utakosa amani (to be insecure)?
Mkuu; Ndo hivyo tena mambo ya JF ni Ku-Risk wakati mwingine. Mwenyewe sasa hivi amekomalia TV Series za SBC na mimi nimekomaa na Lap Top yangu.
Hata hivyo Mkuu; Mke wangu ni bomba sana na moto wa kuotea mbali Mkuu. Ukweli ni kuwa hata huyu dada anayedhaniwa ni mzuri si lolote si chochote kwa mamsap wangu . . . . haaa haaaa (Mambo ya mwamba ngoma hayo . . .)

Mkuu; Ile mtu roho yako inapenda hii hapa:
Mkuu Superman hivi mamaa huwaga ana kuwepo ukitumia JF? Hahaha. Msema ukweli mpenzi wa Mungu this lady is beautiful I think to any man's standards.
Kwa wale wafuatiliaji wa Ma- Celebrity, tusaidieni yafuatayo:
1. Huyu Mtangazaji anaitwa nani?
2. Yuko Nchi gani?
3. Anatangazia TV gani?
Kwa wale wafuatiliaji wa Ma- Celebrity, tusaidieni yafuatayo:
1. Huyu Mtangazaji anaitwa nani?
2. Yuko Nchi gani?
3. Anatangazia TV gani?