Memart ya kampuni inayofunguliwa baada ya ku cease business name

Memart ya kampuni inayofunguliwa baada ya ku cease business name

Nindo

Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
71
Reaction score
117
Habari waungwana. Kwa heshima na taadhima naomba msaada wa kupatiwa sample za memart za kampuni zinazoanzishwa baada ya ku cease kufanya kazi kama business name.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Back
Top Bottom