Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

W
Wakina Salim walikuwa na eshima kwa Nyerere,mbona uzunguzii waki Oscar Kambona waliokuwa wapinzani wake Nyerere?
 
Bernard acha unafiki, haukufai, pumzika Lea wajukuu rafiki.
 
Pamoja na mazuri ya Mwendazake ila utawala wake ulikuwa na makandokando mengi sana, kubwa zaidi ni chuki zake binafsi.

Tunaomba Polepole na Bashiru nanyi mjibu kwa upande wenu na kwa niaba ya Mwendazake.

Nakazia:

"Tunaomba Polepole na Bashiru nanyi mjibu kwa upande wenu na kwa niaba ya Mwendazake."
 
Magu alikua na roho mbaya sana tena ile kishenzi.

Lkn pia kama huyu Membe ndio wanasema aliwahi kua ni bonge la shushushu hakika tulipigwa,ni empty brain kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23], Kwanini unasema Membe ni empty brain?.
 
Binafsi siwezi kumhukumu Hayati Magufuli wala kusema chochote kuhusu Membe, kwasababu Hukumu nzuri ni ile inayohusisha Pande mbili,mlalamikaji na mlalamikiwa.Hivyo huwezi kumhukumu Magufuli kwa kumsikiliza Membe pekee ingekuwa Magufuli yupo hai basi tungemsikia nae anavyojibu malalamiko ya Membe.Kishapo ndo unaweza kusema nani mwenye makosa.
 
Jaribu kujirekebisha hata kama umeshakuwa mkubwa, hii dunia haiitaji roho mbaya, chuki au visasi...ona mwenzio alipoishia[emoji848]
Mi sina ubaya bana sema tu falsafa za mwamba kuwakata ngebe vizabi zabina ndio zilikuwa zinanipa raha😂
 
Membe hakufurukuta mbele ya jpm! Jpm hakupenda wanaojifanya hii nchi wanaijuwa kuliko wengine na wanaojifanya miungu watu! Na aliwanyoosha sana sahivi na ndimi zao zinawashwa washwa kutaja jina la mwamba! Jembe limelala haliwez kujitetea .R.I.P. JPM
 

Katika mambo yaliyokuwa yananishangaza huku nikijua ni wizi wa mchana ni huu wa madege

Anatukana mabeberu huku ananunua midege cash sijui
Halafu akijua hayana faida na huku waalimu wanajisaidia vichakani

Ila kweli hela sio maisha
 

ni kama ulikuwa nyuma ya magufuli yaani.

good bro.
 
Membe ni mlopokaji tu km walopokaji wengine,na mwishowe membe ni mwanaccm na atarudi ccm sio muda
 
Mara paap Bashiru anakwenda na V8 Chamwino tena na walinzi halafu anarudi na passo akiwa mwenyewe. Sijui aliomba lift.
 
Kuongea kama kacero japo kuna siasa
 
Reactions: BAK
hata wewe kwa mwandiko huu ni kichaa tu, pole sukuma gang kwa kufiwa , ndio basi tena ngoma iko zanzibari sasa hivi tulieni tu , haihitaji Phd kujua lile dubwasha lilikua la hovyo na mavisasi kama jibwa
 
Acha blah blah blah za kisoro jamvini, Jikite kwenye mada iliyopo jamvini. Porojo nyingiiiiii.
 
Magufuli alikuwa dikteta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…