Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Watz watu wa ajabu eti! Imagine madhila yotealiyapitia membe, ametukanwa. Amefukuzwa uanachama, amekosa endorsement ya mwenda kuzimu, lakini bado hawezi kuja public akaungo mkono katiba mpya,

Naanza kuamini tafiti kuwa Ubongo wa mtu mweusii una undergo retardation as time goes
 
Aisee mim huwa mvivu kusoma hayo mambo lakin membe nimemsoma anatiririka na anaelezea vyema kabisa na amejitahidi kutumia tafsida
Hvi vichwa ndio vinafaa kuwa viongozi
Membe umenikoshaa
 
hahahahahaa nimecheka sana
 
Tuliuza nini kule nchi za jumuiya ya madola? Hasa kwa mawazo yako mazuri?
 
Kutoa classified information nikumeza sumu ukiwa na akili timamu... Nadhani nauwona mwisho kuliko mwanzo au nauwona mwanzo kabla ya mwisho... Lipo jambo la ajabu linataka kutokea ngoja nifunge mdomo.
 
Wakamalizane sasa huko mbinguni
 
Tukanyage Ardhi Kwa nidhamu na hofu ya Mungu hivi vyeo, Mali na HESHIMA za kibinadamu wakati mwingine ni kujidanganya na kujilisha upepo tu.
**Leo hii hakuna Chro, Ulinzi, misafara, suti Wala saluti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…