Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

TUNAMSHUKURU sana MUNGU kwa matendo yake makuu aliyotutendea March 17th.
 
Najuta kwa haya yaliyotokea nchini kwetu.

Mungu atusamehe kwa kweli
 
Kitendo tu cha kuwabana hawa walafi kinaadhiirisha Magu alikuwa serious na maendeleo ya kweli Tz, R.I.P G.O.A.T.
 
Sema na wewe una chuki nae binafsi tu mwamba sikatema nyongo yake.
 
Ulitaka aseme atekwe na kupotezwa?
 
Magu alikua na roho mbaya sana tena ile kishenzi.

Lkn pia kama huyu Membe ndio wanasema aliwahi kua ni bonge la shushushu hakika tulipigwa,ni empty brain kabisa.
Bonge la shushushu ni lazima aweje? Kwaiyo sasahv ndiyo unaona tunao mashushushu majiniazi siyo? Hali ya wananchi ikoje?
 
Hapa mwishoni ndio ameongea pumba kabisa. Anaanza kujipendekeza kwa huyu mama dah membe sijui ana shida gani HUYU jamaa
 
Magu alikua na roho mbaya sana tena ile kishenzi.

Lkn pia kama huyu Membe ndio wanasema aliwahi kua ni bonge la shushushu hakika tulipigwa,ni empty brain kabisa.
Tatizo lugha, aliona kazi ya kumwelezea CV za Membe mbele ya viongozi wenzake ni tabu, ndio sababu! Akaona isiwe shida ni kuto mwi endorse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…