Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola



Watu waliokuwa na shida na Magufuli ni hawa mafisadi wasioshiba.

Nomination ya hiyo nafasi mara ya mwisho imefanyika 2015 na wagombea walikua wafuatao👇









Mshindi alikuwa Baroness Scotland ‘QC’ ni title za wanazopewa wanasheria huko kwao, kirefu chake ni (Queens Chancellor) hadi upewe title hiyo maana yake umeshawatwanga wanasheria wenzako kwa miaka kadhaa mahakamani na una sifaa za kuteuliwa jaji mahakama za juu.

Ndio maana hakuna jaji ulaya chini ya 40 lazima uonyeshe ulikuwa mwamba mahakamani kama mwanasheria kwanza na average age ya kuteuliwa ni miaka 45 kama ujafanya law practice experience wala ufiki huko.

Kila mmoja hapo ana sifa zake ambazo CV ya Membe aitoshi na huo mchakato wa kupata wagombea ulifanyika kabla hajawa raisi; huyo kiazi Membe atoshi ni top spy in Tanzania tu.

Kwa nchi za wetu usalama wa nchi ni mchezo wa vipanga. Sema mtu kama Membe kapewa exposure na Tanzania kwenye mambo ya usalama Ila hana sifa za nafasi alizoshika. Hana huo uwezo ukimsikiliza kwenye maswala ya National security.

Nyie watu mnacheza kwenye maswala ya National intelligence; huo ni mchezo wa vipanga at top level.
 
Pamoja na mazuri ya Mwendazake ila utawala wake ulikuwa na makandokando mengi sana, kubwa zaidi ni chuki zake binafsi.

Tunaomba Polepole na Bashiru nanyi mjibu kwa upande wenu na kwa niaba ya Mwendazake.
Mkuu kitendo cha watu kukutwa kwenye viroba,utekaji wa watu,wanasiasa wa upinzani kuuwawa nk binafsi si hesabu zuri hata moja kwake japo alikuwa rafiki yangu pindi akiwa waziri na namuomba Mwenyezi Mungu wakati wengine tunachomwa kwa dhambi zetu magu awe kuni na moto uchochewe haswa.
 
“Sasa mtu mwingine atakwambia kipindi cha mpito cha miezi sita ni kikubwa sana, hapana kumbuka hii ni siasa, kuna mashimo katika njia hiyo hiyo na miba, kwa hiyo lazima uje taratibu kumpa nguvu mama na kumpa muda ili aweze kufanya marekebisho,” anasema na kuongeza:


NUKUU[emoji115]
 
Pamoja na mazuri ya Mwendazake ila utawala wake ulikuwa na makandokando mengi sana, kubwa zaidi ni chuki zake binafsi.

Tunaomba Polepole na Bashiru nanyi mjibu kwa upande wenu na kwa niaba ya Mwendazake.
Hao hawana uwezo wa kumjibu,sababu Ni wahamiaji na hawana mtu wa kuwasapoti,wamebaki wajane..
 
Membe hafai sana kuwa kiongozi Mkuu wa nchi in general, asingeweza fanya hata robo ya JPM aliyofanya.

Ila niseme wazi, kwa hili la Ukatibu wa Commonwealth, hapa JPM kamfanyia roho mbaya sana Membe, hii ni roho mbaya kabisa, kwa hili JPM alionyesha usukuma wake na ujinga wake, JPM kuna mambo mengine alifanya ana roho mbaya kweli aisee.

Unamzibiaje mtanzania mwenzako nafasi kubwa hivyo? Kisa tu eti mlichuana ndani ya Chama kugombea nafasi ya urais. Kiukweli JPM alikuwa mtu wa visasi sana. Alafu unamtumia Musiba kumchafua Membe na baadhi ya wastaafu kila kona na hao ndio waliokupigia kampeni hadi ukawa Rais, huu ni upumbavu na ujinga sana.
 
Hao hawana uwezo wa kumjibu,sababu Ni wahamiaji na hawana mtu wa kuwasapoti,wamebaki wajane..
Polepole si ana darasa la uzalendo nadhani atajibia humo humo.
 

Anyamaze tuu maana hakuna anachoweza zaidi ya kuendelea kujifedhehesha

JPM alikua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania wakati yeye Membe kashindwa hata kuwawakilisha act waliomteua kugombea urais

Huyo JPM anayedai alimharibia hayupo na sidhani hata leo watanzania wanaweza mpa dhamana ya kushika dola kwa jinsi alivyo
 
“Sasa hivi husikii watu kukamatwa au kuona maiti zinaelea baharini au mtu kafa, husikii upotevu wa binadamu wenzako, wafanyabiashara au watu wa kawaida, kwa Watanzania hii lazima tuithamini,” anasema Membe na kuongeza:
Confirmed, Kachero mbobezi confirmed kabisa ndugu zetu waliuliwa! This is very serious! Naomba maelezo haya yachunguzwe
 
Pamoja na mazuri ya Mwendazake ila utawala wake ulikuwa na makandokando mengi sana, kubwa zaidi ni chuki zake binafsi.

Tunaomba Polepole na Bashiru nanyi mjibu kwa upande wenu na kwa niaba ya Mwendazake.
Haya alitakiwa ayaseme Magufuli akiwa hai,kwani hakuna sehemu kavunja Sheria.
Kinachonishangaza unafiki na kujipendekeza ,hakika anajidharaulisha, matendo yao yanajulikana wazi ,ni majizi ,matapeli, mafisadi,ambao mwendazake aliwatia adabuw haswa
 
Nimeshangaa, pamoja na Magu kuwa na roho mbaya lakini Membe ni MTU hatari ana tamaa ya kiwango cha juu HAFAI.
 
Haya alitakiwa ayaseme Magufuli akiwa hai,kwani hakuna sehemu kavunja Sheria.
Kinachonishangaza unafiki na kujipendekeza ,hakika anajidharaulisha, matendo yao yanajulikana wazi ,ni majizi ,matapeli, mafisadi,ambao mwendazake aliwatia adabuw haswa
Wacha watu waseme ili nyoyo zao ziteme sumu ambayo inaweza kuwadhuru kwa kuwaletea stroke au kisukari. Just joking
 
Hilo suala la kukatwa asiende huko jumuiya lilikuwa linasikika sikika.

Membe ni mmoja wa asiyepatana na JPM na alitoka wazi wazi na kuonyesha kuwa hapatani naye.
 
❤️ SOMA NENO LA MUNGU❤️

📖 Isaya 1: 15 - 17

📌15 Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; mikono yenu imejaa damu.

📌16 Jiosheni, jitakaseni; ondoeni uovu wa matendo yenu usiwe mbele za macho yangu; acheni kutenda mabaya;

📌17 jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane.

🙏❤️ Mbingu Ipo❤️🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…