Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini

Atoboa mengine ya Bashiru, Polepole na wengine
Aeleza namna Magufuli alivyomkwamisha Kenyatta

DAR ES SALAAM
Na Dennis Luambano
Mtu mbinafsi kama membe hafai. Kama inavyodaiwa aliweza geuza fedha iliyotolewa kujenga kiwanda cha mbolea lindi na khadafy ikawa yake magufuli angewezaje kumuamini?najinsi
 
Sasa anapotokea mtu kama Membe alafu anajisafisha kwa watu na nyie mnamshangilia huwa nashangaa sana

Tunafurahi kuona siri zinatoka jikoni mwisho wa ubaya aibu kweli jiwe wa kumfanyia hivi membe? kama aliwatenda ccm wenzie hivi kwa ajili ya uchu wa madaraka vipi kuhusu ndugu zetu wa upande wa pili?
 
Maslahi ya walio. Tu. Colonize.

Ni ajabu hulioni hilo?! Waingreza.
Haya mawazo ya kutawaliwa na wakoloni si mazuri haswa ukizingatia muelekeo wa dunia inapoelekea. Tukipata nafasi tuitumie kwa akili. Our president alikosea. Huwezi tupa nafasi nzuri kama hiyo kwa woga wa colonization.
 
Ile huyu dingi aliposema atanshinda dk ya 90 nimeanza kumuelewa.......
ni kama vile alishinda
 
Mimi naona ni sawa kupata hizo fedha za jumuiya ya madola, ni haki yetu sababu uingereza ilichukua rasilomali zetu nyingi. Imejijenga na kupata nguvu kupitia Mali zetu na nguvu za Babu zetu. Ni haki yetu kupata hizo pound.
 
Magufuli alikosea Kwa hili, hakuweka utaifa mbele Kwa maoni yangu. Membe angekuwa katibu angeiwakilisha nchi. Ile ilkua ni heshma Kwa Tanzania. Hizo fedha zingelisaidia Taifa. Kwa hili Magu alikua mbinafsi kama kweli alifanya haya
 
Mtu mbinafsi kama membe hafai. Kama inavyodaiwa aliweza geuza fedha iliyotolewa kujenga kiwanda cha mbolea lindi na khadafy ikawa yake magufuli angewezaje kumuamini? Halafi ni mtu mjinga unampima kiongozi wa nchi kwa maslahi yako binafsi na kufikiri wananchi watampima kufuatana najinsi yeye anafikiria. Jpm hakukosea kwa kumpiga membe chini commonwealth. Ujue magu alikua mchungu kwa mafisadi. Membe alikua na shutuma ya kula hela za ghadafy alizotoa kujenga kiwanda cha mbolea lindi. Yeye akafanya hila wakazipiga hizo hela. Ghadafy alipopinduliwa na kuuliwa ndio alikula njama wakazipora hizo hela.
Kuna wengine watasema magu alifanya roho mbaya. Mjue magu hakua mwanasiasa wa kawaida kwamba politics is a dirty game. Hakua na mzaha na ufisadi.
 
Kwani membe chamagani?

Ukiacha ushabiki wa vyama ukaijua nafasi yako kwa nchi yako; utaweza kutambua pia tofauti kati ya dola na mtu binafsi

Mungi ibariki Tanzania
 
Ukiacha ushabiki wa vyama ukaijua nafasi yako kwa nchi yako; utaweza kutambua pia tofauti kati ya dola na mtu binafsi

Mungi ibariki Tanzania

Unawezaje kumtenganisha membe na dola[emoji848]
 
Uamuzi wa kutopeleka Jeshi letu Msumbiji Ni Uamuzi Bora kabisa na wenye maslahi mapaMa kwa nchi yetu

Sio Lazima tuiunge mkono Palestine na Huwezi lazimisha kuwa wapalestina na ndugu zetu
 
Membe anasema hajui hasa kisa za Magufuli kumfitini, lakini anadhani chanzo ni roho aliyokuwa nayo kiongozi huyo.
Dah!..Membe anaweza toa kauli kama hii?...πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Na kontena alileta zenye t-shirt zake alafu anazuga hakutaka urais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeandikwa hivi. Amtegemeae Mwanadamu na kumuweka kua ni Kinga Yake Amelaaniwa. Kwa mantiki hiyo Sina neno lolote la kuongeza kwa Membe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…