Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Lisu juzi kule kwa maria space aliita watu wapumbavu kwa kujisahaulisha kwamba jk aliua watu hadi kwa mabomu pale arusha kwwnye mkutano wa chadema na yule mwandishi wa chanel ten pamoja na ulimboka hawakuwa kipindi cha Magu
Ndio, na walichunguzwa! Acha umalaya wa kisiasa na umekubali tena kuwa serikali ya ccm ni ya wauwaji.....Membe ame-confirm na wewe pia ume-confirm the same! Damu za Watanzania hawa zitawalilia daima
 
Wewe unamuona membe ni dola[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Njoo utibiwe maana utakua mgonjwa sana lol[emoji436][emoji361][emoji381][emoji382]

Huwezi kumtenga membe na dola au mfumo( deep state) kama wewe unazani membe si sehemu ya mfumo dola basi wewe ndiye unaeitaji kutibiwa mkuu,
 
Ndio, na walichunguzwa! Acha umalaya wa kisiasa na umekubali tena kuwa serikali ya ccm ni ya wauwaji.....Membe ame-confirm na wewe pia ume-confirm the same! Damu za Watanzania hawa zitawalilia daima
Ndio maana lisu aliwaita nyie ni wapumbavu!

Nani alifungwa kwa mauji ya mwangosi, mateso ya ulimboka, na lile bomu lililoua watu kule arusha?
 
Huwezi kumtenga membe na dola au mfumo( deep state) kama wewe unazani membe si sehemu ya mfumo dola basi wewe ndiye unaeitaji kutibiwa mkuu,

Unajua dola ni nini?
 
hapa tunaweza kupata pa kuanzia waliotaka kumdhuru mzee wetu.
 
Tatizo lugha, aliona kazi ya kumwelezea CV za Membe mbele ya viongozi wenzake ni tabu, ndio sababu! Akaona isiwe shida ni kuto mwi endorse.
Sio lugha tu,alikuwa na roho ya shetani yule,kama lugha ni kikwazo si angemruhusu Kenyatta afanye hio kazi,kwanini alikataa?
 
Mtu bwege tu wa ACT! Anajitetea nini? alitaka apendwe na nani? Yeye mbona alimfitini Lowasa na kuahidi kumfunga?
 
Membe ana first class university, ni. miongoni mwa vichwa vichache enzi hizo kupiga first class
 
Ndio maana lisu aliwaita nyie ni wapumbavu!

Nani alifungwa kwa mauji ya mwangosi, mateso ya ulimboka, na lile bomu lililoua watu kule arusha?
Sasa mpumbavu ni Mimi au ni wewe Na serikali yako iliyojaa damu? Yaani ulivyo mpuuzi unajisifia kuwa mmeua na hamjafungwa? Wewe ni mwendawazimu ila mtakuja kulipa kwa damu na machozi. Mbwa nyie
 
Mwandishi ulitegemea Membe ayaseme mabaya ya Rais aliyeko madarakani?
 
Ukimusikiliza jasusi mbobezi ana analyse Mambo, utafikiri ni kiongozi shupavu,kumbe hakuna kitu.
Alishakuwa waziri kwa muda mrefu anaweza kutuonyesha aliifanyia Nini nchi?

Ninacho kumbuka ni ile tu alitaka nchi iingizwe kwenye jumuiya ya nchi za kiarabu,,hapo maaskofu akawagusa pabaya,wakamkemea.
 
Magu alikua na roho mbaya sana tena ile kishenzi.

Lkn pia kama huyu Membe ndio wanasema aliwahi kua ni bonge la shushushu hakika tulipigwa,ni empty brain kabisa.
Ulitaka shushushu aweje?...au anatakiwa awe amenuna na kukunja sura muda wote?
 
Kwa katiba hii ya nchi tuliyonayo ambayo ndiyo inategeneza ama kujenga mifumo ya kiutawala ni ngumu mno ku implement utawala bora ama uongozi wa sheria ambao Mh. Membe anausema hapa.

Hata ukimuweka nani awe Rais bila kubadilisha katiba tunarudi kule kule, Katiba hii ilijengwa kwa muhimili mmoja tu wa dola kwa wakati huo, na ndiyo maana unaona milimili mingine ina struggle kusimama yenyewe.
 
Team mwendazake mnahitaji coordination zaidi. Hizi nyuzi huwa hamkawii zinawaibua, hazifiki page ya pili utaona wapambanaji kila mmoja na silaha yake, Kilatha anajaribu kuintellectualise, mwingine anamwita mhusika mnafiki Kwa kuchelewa kusema, mwingine anamtukana Vicky Kamata, mwingine analike kila post ya mpambanaji mwenzake, mwingine anasema mbona na nyie mmeua wapinzani na waandishi enzi zenu, mwingine anamshutumu mama kwa kuharibu legacy, mwingine anakumbusha ufisadi wa enzi hizo huku ya kivuko na nyumba za umma kayafukia moyoni. Ili mradi fujo tu. Mngekuwa mnapeana script muwe consistent.
 
Huenda kuna mgawanyiko/makundi huko Lumumba.
 
Soviet ilianguka kwa kujifanya mlinzi na mlezi wa kila nchi ya kijamaa!!
====
endeleo? Unawaza kupata hela za "bure" huko kwenye madola. Hii ni aibu kwangu mimi.
*****
Sasa kamati itaundwa, ukatibu wa madola utapatikana.
Dah mkuu mkiwa na mtu anaongoza organizations kubwa km hizi ni faida kubwa mno aisee kwa nchi husika, hizo pesa za bure unazosema ww kuwa ni aibu ndio mataifa makubwa wanazpiga mno kwa kucontrol hizo organizations, hata merkel alifight yule waziri wake wa ulinzi awe rais wa halmashauri kuu ya EU, Trump alikua anapinga yule mnigeria asiwe mkuu wa WTO coz alikua anahisi china ana mkono wake, hio bure unayosema wewe kuwa ni aibu ndio nchi kubwa wanayoipambania kuipata kwa kucontrol hizi international organizations, mkosoe membe binafsi ila usidowngrade umuhimu wa kuongoza hizi taasisi pamoja na mapesa yake ya bure, membe ana interest zake binafsi sawa ila hoja yake kuhusu common wealth ni ya msingi, ama kweli siasa zinatudhuru kuliko kutusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…