Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola


Rudi post no 47 umewekewa waliokuwa wagombea wa nafasi hiyo 2015 tena mapema tu hata kabla JPM hajawa Rais,Selection imefanyika only 10 days JPM ndiyo akiwa Rais,means hao waliogombea tayari walishakuwa wameandaliwa na Nchi zao na Endorsement ingekuwa imeshafanywa na JK,sasa Membe anataka tuamini ndani ua siku kumi tu za JPM madarakani ndiyo mchakato mzima wa kuwaandaa hao wagombea ulifanyika? Huko kumzibia kumetoka wapi kama siyo uwongo wa “Jasusi mbobezi”
 

Naweza kukuelewa. Kukimbilia JM kwa membe haikuwa ni kwa maslahi ya nchi. Bali ilikuwa ni kujaribu kujijenga kisiasa. Maana huko mahela angepata ya kumuongezea ujeuri. lkn pia angekuwa bize na kazi hizo, hivyo akili yake ingekuwa exposed na fast (ukimlinganisha na mtu ambaye analala na kuamka asubuhi asijue nini la kufanya). Lakini pia you never know, pengine mabeberu yalikuwa yakimuandaa mtu ambaye angeweza kulinda maslahi yao katika nchi hii na ukanda huu kwa ujumla. Ikumbukwe JPM hakuwa kipenzi cha wamagharibi.

CC: Extrovert
 
Na JPM alikuwa ahead of them in thinking
 
Lisu juzi kule kwa maria space aliita watu wapumbavu kwa kujisahaulisha kwamba jk aliua watu hadi kwa mabomu pale arusha kwwnye mkutano wa chadema na yule mwandishi wa chanel ten pamoja na ulimboka hawakuwa kipindi cha Magu
Kwahio unathibitisha kuwa Serikali ya JK inahusika na mauwaji ya watu uliowataja lakini pia unathibitisha kuwa Serikali ya Magu pia inahusika na kuuwa kwa Watanzania!
Na unaendelea kuthibitisha kuwa Wahusika hawajafanywa kitu, yaani unajigamba confidently kabisa kabisa!

Upumbavu na ujinga na majivuno yatakwisha, nakukumbusha JINAI haifi
 
Ngosha Roho mbaya ilipunguza siku za kuishi kumbe, hakika Roho mbaya haifai kabisa,

Mzee wetu alikuwa na Chuki Sana, halafu magufuli hakufaa kuwa kiongozi wa Nchi kubwa Kama Tanzania, uelewa wake ulikuwa mdogo Sana kuhusu dunia inavyotaka na inavyoenda
 
Nnawasiwasi na akili ya membe?? Hiv Ni kwel hyu Ni tiss au TISS?? Kunakitu kinatwa MAADILI!! anakijua kwel hyu?? Anajua kuwa anapaswa kukaa mda gani mpka kusema Yale yaliyo ndani ya serikal?? Anajua kihusu kiapo Cha kazi hyo?? Anajua miiko yake?? Anakumbuka wakati anaapa kuwa waziri kiapo chake kikoje?? Je anajua kuwa ukiukwaji wa miiko ya kazi yke nn kinafuata??

Membe anatatzo ambalo Ni kubwa na asipoangalia litamponza, kunawakati kunyamaza huwA Ni BUSARA, hiv unajua Kati ya membe na lowasa Nan alisemwa Sana?? Na unadhani Nan anajua mambo mengi?? Y Edo ypo kimwa?? Unajua kwa nn?? Jib Ni moja tu MAADILI!! kiapo chake Cha kazi maana anajua kukikiuka nn kinafuata, nauna msali mwembembe Sana ambao upo mbele ya Membe..

Kila Zama na kitabu chake, Magu alikuja na mfumo wake na Sasa Samia anamfumo wake, maoni yanaruhusiwa Ila kwa mda fulan, mfn USA wanautaratib kwa wale watu walio na profile kubwa hata Kama atkuwa hayupo kwenye mfumo haruhusiwi kuzungumza mpka may be 10yrs, na mengine usiyaseme mpka unaingia kabulini..

Awe mpole vinginevyo[emoji40] asimlau mtu.. anawajua kile kilichowatokea waleeeeeeeee

Na signout
 
Simkumkubali Magufuli katika mambo mengi lakini kama kweli aliweka kauzibe ili Membe asipate huo ukatibu basi alifanya vizuri sana. Membe uwaziri wa mambo ya nje alifanya vibaya mno na utawala wao na JK ulijaa ufisadi, kusafiri na kuomba omba. Hivyo kumuachia mtu mzembe kama huyu kuwa katibu mkuu wa Jumuia ya Commonweath siyo sahihi.
 
Kwahio confirmed utawala huo uliua waandishi na RAIA?? Duh jinai haifi. Magu wewe!!

Ni kweli jinai haifi kabisa, twakumbuka Mauaji ya Mwandishi Mwangosi alivyosambaratishwa kama nyama kule Mbeya Sept 11, 2012 na mateso makali ya Dr Ulimboka July 12,2012.Jinai kamwe haisahauliki
 
Namkumbusha tu kwamba tu kwamba wao walitumia hadi mabomu lililouwa watu kadhaa kwenye mkutano wa chadema pale Arusha,
...acha uongo mkuu...usiwachafue watu kwa tuhuma usizoweza kuthibitisha,...kina Membe watupe bomu kwenye mkutano wa kugombea udiwani ili iweje?..hata kama huwapendi usiwazushie.
 

Bro nchi kubwa haziko kama wewe unavyofikiri. hawang'ang'anii hizo nafasi kwa ajili ya vyeo. wenyewe wanachoangalia ni ushawishi. Maana ukiwa katika mamlaka na ngazi ya maamuzi, basi ni rahisi sana ku influence any policy in your favor. Ni kama vile D. Trump anavyougombea urais, siyo kwa sababu ya njaa, bali ni kwa maslahi ya kibiashara. Tambua hilo.

CC: nankumene
 
...acha uongo mkuu...usiwachafue watu kwa tuhuma usizoweza kuthibitisha,...kina Membe watupe bomu kwenye mkutano wa kugombea udiwani ili iweje?..hata kama huwapendi usiwazushie.
Magufuli alirusha risasi wapi?
 
Msukuma mwenzenu alikuwa na Roho chafu kabisa
 
Muulize Membe
 
Membe kamzungumiza na kathibitisha kuhusu Magufuli kipenzi chako, wewe umethibitisha kuhusu Mwangosi, Mauwaji Arusha nk
Mimi nmemzunguzia Membe kipenzi chako juu ya mauji kwenye mkutano wa chadema Arusha, Mwangosi Iringa, dr Ulimboka mabwepande nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…