Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.
Achana na hadithi za alishasema, wakati mwingine muwe mnaruhusu bongo zenu kufikiri. CCM hawapokei tena fomu ya mgombea uraisi. Nedxt week wanampitisha JPM t-shirt zinaanza kusambazwa zimeshaprintiwa tayari. Wewe bado una ngonjera zako eti suala la muda. Sometimes bora kukaa kimya kuliko kuongea story za vijiweni.
 
Yani hii kauli ya suala la muda tu utopoloo wanaipendaa sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani membe case yake ndo imeishaa hivyo ndo maana hata CCM hawamjibu tena... Hata vijana wao kina polepole kama hawamuonii...
 
Kamuulize yeye aliyesema siyo unanijia juu mimi, ujue sisi wengine tunaingia humu kama burudani tu hivyo kama wewe uko kikazi au una uchungu sana na CCM shauri yako. Kuna watu humu tunachemshana tu tena wakati mwingine tumekaa meza moja tunakula bata na vinyawji huku tunagongeshana glass maana naona umekomaa!!
 
Maafisa jeshini huwa wanaitwa wajiandaa Usalama
 
Desperate times call for desperate measures.
Doing the same thing over and over again and expecting different results

That is insanity

Thank you Albert Einstein
 
Kichaa mpe rungu kichaa mwenzake wakimbizane. Hivyo Lissu anafaa katika mazingira kama haya.
 
Membe amesheheni taarifa na ufahamu mkubwa kichwani
 
Membe amekua kwenye uongozi wa ngazi za juu kwa muda ana uzoefu, anajiamini, ni ntu hatetereshwi
 
Membe kampita vitu vingi lissu kama sifa za mgombea
 
Ila ccm ni mastermind. Infiltrate tayari anaingia kupekecha. Atakwenda huko kuwakoroga. Kwani ni lazima agombee? Ukitaka kujua ametumwa, angalia alivyoondolewa. Hiyo akili ingeelekezwa kwenye masuala yenye tija kwa watu wetu ingekuwa jambo la maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…